maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,120
- 4,850
Nianze kwa kusema asanteni wazee wetu kwa kutulea na kutukuza kwene misingi mema
Ila leo kuna kitu naomba kuwakumbusha au kuwaambia huenda kitasaidia kuwaondoa migogoro na sie watoto wenu
Suala la mzazi kumlea mtoto ni la lazima yaani ni jukumu lake maana yeye ndio alie mtafuta kwa nguvu zote
Ila wazazi mnapotulea na kutusomesha msitegemee na sisi tutakuja kuwasaidia kwa asilimia kubwa maana kipindi ambacho nyie mtakua mnazeeka na sie ndo kipindi chentu cha kuandaa future yetu koo inabidi tuwe makini tusije wekeza nguvu kubwa kwene kuwasaidia ninyi kuliko kuangalia yanayotukabiri
Narudia suala la mzazi kumlea mtoto ni la lazima, ila suala la mtoto kumsaidia mzazi ni la hiari inategemeana na kipato alichonacho koo wazazi msituhukumu kwa mambo kama hayo
Kivyangu huwa siamini kana kwamba eti kuna wazee ujana wao walibweteka huku wakitegemea wanawe waje wawa saidie si kweli