Niulize swali lolote kuhusu matatizo ya kisaikolojia (psychology problems)

Kuna watu ni wa ajabu, muda mwingi wanakuwa na hasira pasipo kuwa na jambo muhimu la kukasirika. Hawa watu wa aina hii wanakuwa na shida gani na dawa yao ni nini?
 
toka jamaa alivyoambiwa kwamba mwanamke ambaye aliyetembea nae mara moja ni muathirika hamu ya mwanamke imempotea sana hata awe na hamu kiasi gani ile kukaribia mwanamke tu hamu yote inaisha, hii ikoje maana ugwadu upo ila hofu ya kukutana kimwili ndio kubwa kiasi cha kupoteza hamu yote?
 
Back
Top Bottom