Nina mwanaume na tumeshaanza familia tuna mtoto mmoja na tulipanga wote wawil tupate mtoto barua ilishapelekwa kwetu wanamfaham ndugu zangu,nami wananifaham shida tunaishi mbalimbali amefika kukir alikuwa na mchepuko alishindwa kuvumilia ila ameachananae kwa sasa na amemwambia ukweli kuwa ana mtu.mda mwingine nawaza kuachananae shida inafika spendi watoto wangu wawe na baba tofaut nifanyeje