Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,447
- 10,785
...Kuna hospital moja nilienda kwa kazi maalum ya about miezi 3. Sasa kuna ka nesi ka kimeru kakawa kananiamkia vzr kabisaa, Shikamoo baba!! Ki umri kako around 20-24. Nilikuwa naitikia kwa bashasha na hili besi langu!
Sasa juzi juzi kakakosea kunituma picha ake ya kanga kochini, nikakatania I love u!! Mpaka leo hakaniamkii, ni mwendo wa mambo? Nambie? N.K. Sasa na udingi huu najisikia vibaya!!
Je, kwa nn shikamoo huondoka kipindi unapomtokea binti? Au kwa nn ukimuoa hata kama alikuwa anakuamkia uchumbani shikamoo inapotea ndoani??
Sent using Jamii Forums mobile app