Wanaume karibuni tuwajadili wanawake wakiwa na mimba

Emma M Bai

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
223
126
Kero ipi mke wako huwa inakuchosha pale akiwa Na mimba

Me sijaoa, Jana kuna mpangaji mwenzangu akaagiza ndimu usiku saa 4
Huu unyanyasaji
 
[TE="Father of all Snipers, post: 32581919, member: 542879"] Duh choo hakija dondoka
Yupo mtaa wa pili hapo kamaliza tofali karibia zote za chooni anakwambia ndiyo tamu na zinamnukia vizuri!
[/QUOTE]
 
Kuna jamaa yangu mmoja nilienda sehemu duh,yaani mwanzo mwisho mwanamke anatema mate,akikaa sehemu mnaongea ana kibakuli cha kutemea mate,mpaka alipojifungua ndio ikakata...
 
Hupenda sana kudeka, kununa ni ndani ya sekunde moja tu hasa usipomtimizia mahitaji yake kwa wakati, kiwango cha wivu hufikia 99%, kula kula hovyo, hali ya kulala lala tu kila wakati ikiambatana na uvivu usio wa kawaida, nk.
 
Back
Top Bottom