Nyamboboy
JF-Expert Member
- Jun 22, 2017
- 360
- 459
Habari za wikiendi ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada,Nilitoa mada hapa jukwaani kipindi fulani kuhusu nia yangu ya kuzaa na msichana kwa mkataba,katika mada hiyo nilielezea kwa urefu kuwa nitakuwa tiyari kumpa matunzo huyo mama mtoto/watoto wangu kwa kipindi cha miaka miwili hadi nitakapochukua mtoto wangu.
Leo nimekuja hapa kuleta mrejesho kuwa nimewapata wanawake wanne,ila nimekubali kuzaa na wawili na mmoja kati yao tumefanya mchakato wa kupata mtoto wiki iliyopita na mwingine nina imani siku siyo nyingi tutafanikisha huo mchakato.Kuhusu malipo kwa kipindi chote hicho tumeelewana na wamekubali kwa moyo mmoja.Nafurahi kuona na hapa kwetu Tanzania watu wameanza kuwa waelewa kuwa ni bora kufanya kile moyo wako unapenda kuliko kuingia kwenye ndoa baadae ikawa shida na matatizo.
Natanguliza shukurani kwa wale walionitia moyo kipindi natoa wazo langu hili.Wikiendi njema!