Haya nawauliza swali tete humu ,kuhusu marafiki kuzungukana kimapenzi,mkiweza jibuni.

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,043
32,689
Kwa wanaume je ulishawahi kuwa na rafiki yako akakuonesha mpenzi wake wa kike (girlfriend wa rafiki yako)halafu baadae ukafanya tamaa kisha ukamzunguka rafiki yako kwa siri kisha ukala penzi? ama wewe mdada ulishawahi kuoneshwa mpenzi wa rafiki yako wa kike (boyfriend wa rafiki yako),kisha ukafanya hila, ukamzunguka rafiki yako ukamlia vyake?
Swali tete!
 
Kwa wanaume je ulishawahi kuwa na rafiki yako akakuonesha mpenzi wake wa kike (girlfriend wa rafiki yako)halafu baadae ukafanya tamaa kisha ukamzunguka rafiki yako kwa siri kisha ukala penzi? ama wewe mdada ulishawahi kuoneshwa mpenzi wa rafiki yako wa kike (boyfriend wa rafiki yako),kisha ukafanya hila, ukamzunguka rafiki yako ukamlia vyake?
Swali tete!
1 hapa wacha nisubiri majibu
 
Ni miongoni mwa tabia mbovu sana.Ni kujishushia heshima kabisa.Huyo mtu mmoja kuzungukana kutembea naye ana nini kipya au kitamu mnoo?Udhaifu wa hali ya juu marafiki kutembea na mtu mmoja.Siwezi kufanya upompompo wa aina hiyo.
Ila kuna watu wanazungukana aise,tena hata marafiki wenye ndoa zao,
 
Mahusiano ni falsafa ndefu ambayo imeshikwa na viungo vingi katikati kama marafiki au familia, kwa hiyo unapokuwa na mpenzi ni lazima utamtambulisha kwa ndugu, jamaa, marafiki na wengineo ambao watakuwa ni watu wa karibu nawe kwa wakati huo

kuna marafiki wa aina nyingi sana katika urafiki wetu. Kuna maeafiki ambao wana utu na heshma na kuna wengine ambao ni mashetani wanaoasubiri uanguke wao wapate kushika nambari yako. Sasa ukiwa umezungukwa na marafiki hao basi jua usimuonyeshe jambo lako lolote ambalo linakuhusu kwani mwisho wa siku lazima apambane naye awe nalo bila kuangalia gharama wala maumivu ambayo atakusabibishia katika upatikanaji wa jambo hilo

Hili ambo ni la kawaida sana na inategemea na urafiki mlionao na kutokuwa na uaminifu atika urafiki wenu. Sometimes demu anaweza akajiegesha kwa mshkaji baada y amshkaji kuonekana kama anasomeka sana kwa demu kuliko kwa mshkaji ambaye ndo ana demu,kama mshaji sio mstaarabu anaamua kumega kimya kimya ila demu naye awe na staha kwa mshkaji.

Kubwa ni heshima kwa pande zote mbili. ingawa inauma sna ukija kugundua kama unamegewa demu wako na mshkaji wako wa karibu ambaye mwanzo alikuwa anajua mahusiano yako tena anayakubali hatari.

Poleni sana kwa wale ambao walishatendewa hayamambo ila kwa uupi haya mambo yapo kwa sana
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom