japhete robert
New Member
- Jul 30, 2019
- 3
- 0
Hii wanajamvi natumaini ni wazima wa afya.
Nina mtoto ana umri wa miaka 6, wa kiume ni kiboko kwa kukojoa kitandani yani hata kama nikimuamsha usiku bado atakojoa tu nimewaza hadi nikaona niandike hii thread lakini pia ni mtundu sana ukimwambia kitu dakika sekunde 30 anakuwa kasahau. Pia hata akifundishwa shuleni anavofika tu nyumbani anakuwa kasahau tayari ila art zake za mwandiko ni nzuri sana, ninaomba msaada wa hali na mali nifanyaje jamani, zamani nilkuwa namuadhibu lakini hadi sasa hivi nimepoa.Hi hali inanikera sana yani.
Lakini pia mchana anacheza sana na usiku analala fofo.