Ni changamoto gani, ngumu kuliko zote, ulishawahi pitia kwenye mahusiano? Uliitatuaje? Na je bado uko na huyo mtu mpaka sasa?

Keyboard Warrior

JF-Expert Member
Aug 5, 2014
985
2,884
Kwenye mahusiano huwa kuna changamoto mbalimbali, hakuna mahusiano yasiyokuwa na changamoto. Ila wakati mwingine mtu unaweza ukapitia changamoto mpaka akili ikakukaa sawa. So ni changamoto gani ulishawahi pitia kwenye mahusiano, uliitatuaje? Na je uko na huyo mtu mpaka sasa?

Share experience, pengine kuna mtu anaweza kujifunza kitu.
 
Back
Top Bottom