Mabinti wa Dar: Ukiona Kakusalimia...

Wana dharau sana hawajui kusalimia mtu. Na ukiona kakusalimia jiandae basi kuombwa msaada. Ni lazima ama kapotea anataka umwelekeze au kakwama nauli anataka umesaidie...

Mi huwa nawatazama kwa dharau hivohivo kisha nasepa zangu.
Wacha nijipitishe nione kama joanah atanisalimu.
 
Wana dharau sana hawajui kusalimia mtu. Na ukiona kakusalimia jiandae basi kuombwa msaada. Ni lazima ama kapotea anataka umwelekeze au kakwama nauli anataka umesaidie...

Mi huwa nawatazama kwa dharau hivohivo kisha nasepa zangu.
Maisha yanavyoenda kasi. Kuna muda unapita watu lakini huwaoni sio kama huko kijijini kwenu mnajuana nyumba mpaka nyumba.
 
Back
Top Bottom