Mwanamke: Je, unatafuta mchumba? Fuata kanuni hii hakika utapata mchumba mwenye tabia uzitakazo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke: Je, unatafuta mchumba? Fuata kanuni hii hakika utapata mchumba mwenye tabia uzitakazo...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtambuzi, Jul 29, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280


  [​IMG]

  Kuna kitu kinaitwa nguvu ya mvuto, lakini pia huenda mmeshawahi kusikia au kusoma kitabu kinachoitwa “The Secret.” Ni kitabu kizuri sana kinachoeleza kwa kirefu na kwa lugha nyepesi inayoeleweka jinsi nguvu hii ya mvuto inavyofanya kazi. Katika kitabu cha The Secret mwandishi Rhonda Byrne anasema kwamba mawazo yetu ni kama sumaku. Kwa kawaida sisi wanadamu tumezungukwa na nguvu ambazo hatuzioni lakini zipo kwa hiyo Kwa jinsi tunavyofikiri hayo mawazo yanakuwa na nguvu ambazo zinavuta kila kitu tunachowaza, kiwe kizuri au kibaya, ni lazima kitarudi kilipotoka, ambapo sipengine bali kwako wewe mwenyewe.

  Rhonda anazidi kubainisha utendaji wa mawazo yetu kwa kutoa mfano wa ufanyaji kazi wa Luninga (TV). Kama wote tunavyofahamu kuwa ili kituo cha kurusha matangazo ya Luninga kifanye kazi kunakuwa na minara inayosafirisha mawimbi na kuyageuza katika mfumo wa picha na hivyo kutuwezesha kuona matangazo ya luninga tukiwa majumbani kwetu. Wengi wetu hatufahamu mitambo hiyo inafanya kazi namna gani, lakini tunafahamu kwamba kila chaneli ina mawimbi yake ambapo kila tukichagua chaneli fulani tunapata picha katika luninga zetu. Tunachagua mawimbi kwa kubadilisha chaneli na ndipo tunapopata picha za matangazo kutoka katika chaneli hiyo. Kama tunataka kuona picha na matangazo tofauti katika luninga zetu tunabadilisha chaneli kwa kutafuta mawimbi ya chaneli nyingine.
  [​IMG]
  Sisi kama wanaadamu tuko sawa na mnara wa kurusha matangazo ya luninga na tuna nguvu kuliko minara ya kurusha matangazo iliyowahi kuwepo hapa duniani. Mawimbi yetu ndiyo yanayoratibu maisha yetu na ndiyo yanayoifanya dunia iwe kama livyo leo, kwani tunatengeneza mawimbi kutokana na namna tunavyowaza. Ile picha tunayopata au tunayoiona kupitia mawazo yetu, sio sawa na ile tunayoiona katika luninga zetu sebuleni kwetu, bali ni picha ya maisha yetu! Mawazo yetu yanatengeneza mawimbi na yanavuta kila tunachokiwaza na kuwa ndio maisha yetu halisi.

  Iwapo tunataka kubadili chochote katika maisha yetu, basi inatulazimu tubadili chaneli na mawimbi kwa kubadili namna yetu ya kufikiri. Mwandishi huyo anaendelea kusema, kinachosabisha watu wengi wasipate kile wanachokitaka maishani ni kwa sababu wanafikiria zaidi kuhusu kile wasichokitaka badala ya kile wanachokitaka. Hebu tujaribu kuchunguza mawazo yetu na kauli zetu, tutagundua siri kubwa. Kwani nguvu ya mawazo ipo na inafanya kazi. Ugonjwa mkubwa sana unaowakabili wanadamu hapa duniani karne kwa karne ni ugonjwa wa “sitaki” au “sipendi,” anabainisha mama huyo. “Watu wameendelea kuacha ugonjwa huu uendelee kutawala katika mawazo yao, vitendo vyao na kauli zao, wakiendelea kuzingatia yale wasiyoyataka au wasiyoyapenda.” Anamalizia kusema mwandishi huyo.

  Ugonjwa huo ndio unaowatesa baadhi ya wanawake wanaotafuta wapenzi. Mfano halisi ni kauli kama, “mimi sipendi wanaume wafupi,” au “mimi sipendi kuolewa na mwanaume mnyanyasaji….” na kauli nyingine zinazofanana na hizo. Ukweli ni kwamba kitakacho watokea wanawake wenye kutoa kauli kama hizo ni kuishia kuolewa na wanaume wa aina hiyo….. kinachofanyiwa kazi na mawazo yetu ya kina (Unconscious Mind) ni kile tunachokitamka, iwe ndicho tunachokitaka au tusichokitaka, mawazo yetu ya kina hayajui neno sipendi au sitaki, hukuletea kile ulichokitamka na kukijaza katika akili yako.
  [​IMG]
  Kuna wanawake wengi ambao wameolewa au wamewahi kujenga mahusiano na wanaume ambao waliwahi kutamka hadharani kwamba kamwe hawatoweza kujenga mahusiano nao au kuolewa nao. Hayo ni matokeo ya kauli zao ambazo walizitamka bila kujua madhara yake. Kwa hiyo basi kwa kutumia kanuni hiyo ya mvuto kama alivyosema mwandishi Rhonda Byrne mnatakiwa kuanza kuratibu mawazo yenu na kauli zenu kwa kutamka aina ya wanaume ambao mngependa kujenga mahusiano nao au kuolewa nao na haiishii hapo ni vyema mkajiweka katika mazingira ambayo yatawavuta kuelekea mahali ambapo mtakutana na aina ya wapenzi muwatakao. Huwezi tu kukaa nyumbani kwako au kutembelea eneo moja hilo hilo kila siku halafu utarajie kukutana na aina ya mpenzi umtakaye itakuwa ngumu, labda uwe na bahati sana.

   
 2. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Dah mi nadhan watu kama nyie ni wachache sana..eee bwana thanx alot!!!
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  hapo chacha!
  Nakumbuka mama yangu mdogo alikuwa ni mtu wakuponda sana na alikuwa akisema siwezi kuolewa na mwanaume wa hovyo hovyo wala siwezi kuolewa na mwanaume ambae havutii

  lakini mwisho wa siku ::::::::::::::::::::::::::::::::::.......................

  Kwakweli hapo kuna mengi ya kujifunza tena sana.

  Big up Mtambuzi
   
 4. pincode

  pincode Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  nlishakisoma na kwa kweli ni kitabu kigumu kukielewa kwa mind ya kawaida coz wa2 walohusishwa wanaongea sayansi zaid bt inafanya kazi na ts nyc kiukweli bt tym tellz
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  ubarikiwe,kumbe naweza kupata ninayemtaka!
   
 6. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Usihofu pincode, hivi karibuni nitaanzisha thread za PITIO LA KITABU, ambazo nitakuwa naziweka kila Jumatatu, na kwa kuanza nitaanza na hicho kitabu cha The Secret, kisha kitabu cha Rich Dad Poor Dad, halafu nitaweka pitio la kitabu cha Take Risk cha Ben Carson..............................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  The power of positive thinking eeh.
  Hii ndio watu wa imani wanatuambia "ukiomba na ukaamini utapata"
  Hata ile ya kukemea ugonjwa na ukiamini unapona or rather kujisikia mzima.
  Again thanks Mtambuzi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
 11. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  charminglady wala haihitaji kwenda kwa KARUMANZILA, nguvu ya mvuto inaweza kuvuta kitu chochote ukitakacho, iwe ni mume, mke, nyumba, gari, utajiri, watoto, yaani kila kitu. Kinachotakiwa ni kuwa na urazini, (awareness) kujua kila kinachoingia na kutoka akilini mwako (Kuratibu mawazo yako na kuepuka kuwazza vibaya- negatives), vitendo (Action) matendo yako ni ya namna gani, jamii iliyokuzunguka inakonaje, mwema, muadilifu, mkorofi, mwenye vurugu kichwani nk, Kulenga (Focus) katika kutumia nguvu hiyo ya mvuto umelenga kitu gani, mume mkorofi au muadilifu...? Kama ukimudu kutumia kanuni hiyo hakika utaishi maisha uyatakayo na si jamii itakavyo................................................
   
 12. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Sabry001 post zangu zimebeba 50% ya kile ninachotaka jamii ijifunze na 50% inatoka kwa wachangiaji waliopo humu jamvini, hata wewe ni mmoja wao...................................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Hii kitu nilishawahi kusikiaga natamani nengepata hicho kitabu,ni kama vile kujinenea hivi.
   
 14. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Rich Dad Poor Dad, halafu nitaweka pitio la kitabu cha Take Risk cha Ben Carson..........................hawa jamaa wawili are my favourite authors hususani r. Kiyosaki
   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [TABLE="class: MsoNormalTable"]
  [TR]
  [TD] [FONT=&quot] Ushuhuda..............

  By E. Cetin [/FONT]
  [FONT=&quot][/FONT][FONT=&quot][/FONT][FONT=&quot](East Quogue, NY United States)[/FONT]


  [/TD]
  [TD]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [FONT=&quot]This book was given to me as a gift on father's day. I started reading it the way I read any book but soon I started reading faster and faster, more like scanning, with speed-reading techniques, and finished it in 2 hours, while taking notes at the same time.

  I have no interest in self-help books or concepts like power of positive thinking. This book combines the two, with the main thesis being that the "secret" to anything in life, wealth, health, success, love, romance, happiness is positive thinking, thinking positive thoughts. More specifically, imagining things that you want to have and really, truly believe that you already have them, and feel good about having them now!

  For example, if you want to be rich, you should first imagine that you are already rich; second, you should really believe that you are already rich; and third you should feel yourself in a rich life style, feel happy about it. If you keep doing this for awhile, miraculously the doors of wealth will open to you, all the opportunities will line up at your door and you will be well into your way to becoming that rich person you are imagining. Similarly, if you want to loose weight, you should imagine yourself in your ideal weight, really focus on that, only allow yourself "thin thoughts" and avoid "fat thoughts", and you will get thin. I quote; "if someone is overweight, it came from thinking fat thoughts". Another one; "Food cannot cause you to put on weight, unless you think it can."

  I felt like putting a smiley face right after the last sentence as I am smiling now, and was smiling throughout the book. All you have to do is just ask (oh, and believe, and feel) for the thing you want and lo and behold, thou shalt have it! I quote: "Make a command to the Universe. Let the Universe know what you want. The universe responds to your thoughts." Another one: "The Universe will start to rearrange itself to make it happen for you." Really? I didn't know the entire universe cared so much about me!

  The method even works for some frivolous things. Like always finding a parking spot, never having to wait in lines, never being late etc. And a lot of people are, allegedly, already doing it: "We have received thousands of accounts of The Secret being used to bring about large sums of money and unexpected checks in the mail. People have used the secret to manifest their perfect homes, life partners, cars, jobs, and promotions, with many accounts of businesses being transformed within days of applying The Secret."

  One look at the titles of the co-authors of the book says a lot: Metaphysician, moneymaking expert (ha?), healer, life coach, law of attraction specialist, feng shui consultant (sure)... How about gullibility specialist, swindling expert, or snake-oil salesman?

  Actually I shouldn't be so hard. At least one person, the main author of the book made her wishes come true. In the foreword of the book, and elsewhere inside, she says that she was going through a very bad time, her company of 10 years was about to be history. In desperation she looked everywhere for answers and that's how she discovered "the secret". Judging from the success of the book and the film, it must have worked for her. I suppose she must have thought, believed, and felt something like this: "I want a large number of credulous people to buy what I am saying (and the book, and the dvd) so I can make a lot of money". [/FONT]
   
 16. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #16
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Ushuhuda...................  [h=5]The Secret helped me to get my boyfriend back!![/h]
  By Reemy

  from London, United Kingdom


  I am so amazed at how wonderful and truly amazing The Secret is. I started using it after me and my boyfriend broke up.

  Before I started using it I was crying every day. I was so heartbroken and scared of losing my partner. Than I decided to watch the documentary. At night I would really visualize my boyfriend saying he wants me back in his life, loves me very much, and wants us to be together again. I also would feel positive and know 100% that we would get back together, and I could feel and hear his words over and over in my mind while I was laying in bed.

  A few days later on my birthday my boyfriend called me to wish me my birthday wishes, and he said the EXACT same things. He said he loves me very much, and as soon as I sort myself out he wants us to be together, grow old together, and be a perfect couple.

  This has amazed me so much because when we first broke up I was really scared of losing him. It seemed like we wouldn't be together ever again, but now I know deep in my heart that I will be with him forever, and I am grateful for using The Secret and being back together with my soul mate, the love of my life. I am so grateful for everything that I have and I know more amazing, beautiful things will happen in the future.
  About Reemy from London, United Kingdom: 23 years old, modeling at the moment and will study beauty therapy very soon.
   
 17. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #17
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [FONT=&amp]The Secret

  The first step is to ask. Make a command to the Universe. Let the
  [/FONT]
  [FONT=&amp]Universe know what you want. The Universe responds to your[/FONT] [FONT=&amp]thoughts.[/FONT] [FONT=&amp]

  What do you really want? Sit down and write it out on a[/FONT]
  [FONT=&amp]piece of paper. Write it in the present tense. You might begin[/FONT] [FONT=&amp]by writing, "I am so happy and grateful now that..." And[/FONT] [FONT=&amp]then explain how you want your life to be, in every area.[/FONT] [FONT=&amp]

  You get to choose what you want, but you must get clear about[/FONT] [FONT=&amp]what you want. This is your work. If you're not clear, then the law[/FONT] [FONT=&amp]of attraction cannot bring you what you want. You will be sending[/FONT] [FONT=&amp]out a mixed frequency and you can only attract mixed results. For[/FONT] [FONT=&amp]the first time in your life perhaps, work out what it is you really[/FONT] [FONT=&amp]want. Now that you know you can have, be, or do anything, and[/FONT] [FONT=&amp]there are no limits, what do you want?[/FONT] [FONT=&amp]

  Asking is the first step in the Creative Process, so make it a habit to[/FONT] [FONT=&amp]ask. If you have to make a choice and you don't know which way[/FONT] [FONT=&amp]to go, ask! You should never be stumped on anything in your life.[/FONT] [FONT=&amp]Just ask![/FONT] [FONT=&amp]This is really fun. It's like having the Universe as your[/FONT] [FONT=&amp]catalogue.

  You flip through it and say, "I'd like to have this[/FONT]
  [FONT=&amp]experience and I'd like to have that product and I'd like to[/FONT] [FONT=&amp]have a person like that." It is You placing your order with the[/FONT] [FONT=&amp]Universe. It's really that easy.[/FONT] [FONT=&amp]You do not have to ask over and over again. Just ask once. It is[/FONT] [FONT=&amp]exactly like placing an order from a catalogue. You only ever order[/FONT] [FONT=&amp]something once. You don't place an order and then doubt the order[/FONT] [FONT=&amp]has been received and so place the order again, and then again, and[/FONT] [FONT=&amp]then again. You order once. It is the same with the Creative Process.[/FONT]

  [FONT=&amp]Step One is simply your step to get clear about what you want. As[/FONT] [FONT=&amp]you get clear in your mind, you have asked.[/FONT] [FONT=&amp]Step two is believe. Believe that it's already yours. Have what[/FONT] [FONT=&amp]I love to call unwavering faith. Believing in the unseen.[/FONT] [FONT=&amp]You must believe that you have received. You must know that what[/FONT] [FONT=&amp]you want is yours the moment you ask. You must have complete[/FONT] [FONT=&amp]and utter faith. If you had placed an order from a catalogue you[/FONT] [FONT=&amp]would relax[/FONT][FONT=&amp]/ [/FONT][FONT=&amp]know you are going to receive what you ordered, and[/FONT] [FONT=&amp]get on with your life.[/FONT] [FONT=&amp]"See the things that you want as already yours.[/FONT] [FONT=&amp]Know that they will come to you at need. Then[/FONT] [FONT=&amp]let them come. Don't fret and worry about them.[/FONT] [FONT=&amp]Don't think about your lack of them. Think of[/FONT] [FONT=&amp]them as yours, as belonging to you, as already in[/FONT] [FONT=&amp]your possession."[/FONT] [FONT=&amp]In the moment you ask, and believe and know you already have it[/FONT] [FONT=&amp]in the unseen, the entire Universe shifts to bring it into the seen.[/FONT] [FONT=&amp]

  You must act, speak, and think, as though you are receiving it now.[/FONT] [FONT=&amp]Why? The Universe is a mirror, and the law of attraction is mirroring[/FONT] [FONT=&amp]back to you your dominant thoughts. So doesn't it make[/FONT] [FONT=&amp]sense that you have to see yourself as receiving it? If your thoughts[/FONT] [FONT=&amp]contain noticing you do not have it yet, you will continue to attract[/FONT] [FONT=&amp]not having it yet. You must believe you have it already. You[/FONT] [FONT=&amp]must believe you have received it. You have to emit the feeling[/FONT] [FONT=&amp]frequency of having received it, to bring those pictures back as[/FONT] [FONT=&amp]your life. When you do that, the law of attraction will powerfully[/FONT] [FONT=&amp]move all circumstances, people, and events, for you to receive.[/FONT]
   
 18. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hichi kitabu nilikiona kwa rafiki but I was too lazy to borrow, next time nitakichukua. On more serious note, huu utafiti kwa kweli sikubaliani nao, ina maana nikesema simpendi Mtambuzi my subconcious mind will act otherwise at some point nitaishia kumshobokea :nono: siioni hii logic.

  The only thing I can see here is power of positive thinking but hiyo secret huyu mama anayoiongelea kwakweli haijaingia akilini
   
 19. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Vitabu vya Ben Carson nikikutana navyo lazima ninunue. Ninavyo viwili kwa sasa Gifted hands na Think Big. Yani nimeviweka vizuri wanagu wakikua wasome...ni very inspirational hata kwa wazazi pia hasa wale wenye watoto wanaoonekana kwa watu kuwa ni vilaza.


   
 20. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #20
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hicho kitabu cha Gifted Hand nina movie yake kwenye PC yangu na huwa napenda sana kuingalia kila nikiwa home weekend, haichoshi kuangalia kwa kweli..................
   
Loading...