Kamuambukiza HIV Makusudi

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
1,589
2,000
Jamaa yangu alichukua demu wana kama miaka miwili sasa.

Kumbe demu kaungua na alikuwa tayari kwenye tiba ila alimficha jamaa yangu asijue.

Sasa wote wawili ni waathirika.

Lakini naamini yote ni kwa sababu demu hakumweka wazi jamaa yangu.

Hatujui hata tunamfanya nini huyu demu. Kifupi hasira zipo juu hata sitaki kumuona huyo demu maana sina hakika ya nitakachomfanyia.
 
PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
9,303
2,000
Kila siku huwa mnaimbiwa wimbo mnapoanzisha mahusiano jambo la kucheki afya na kujua status zenu ni la muhimu sana nyinyi mnaangaliana kwa mwonekano wa nje mkijiona mmenawili mnajihisi ni wazima matokeo yake ndio hayo,sio mbaya mwambie jamaa ajikubari na maisha yaendelee.
 
Ishu ni huyu aliyekuwa anaijua hali yake (alikuwa anatumia dawa) kutomweka waz mwenzi wake.ni uuaji huu.
 
Jaiter

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
246
500
Maji yakimwagika, hayazoleki.. unayatazama, unalia kwa muda then life goes on
 
Madame S

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
15,212
2,000
Hata ukimfanyia cha kumfanyia ndio utapona huo ukimwi?? Na shida sio mwathirika aweke wazi kwan wewe umeshindwa kujiongeza ukapima naye mpaka unaathirika hivo?? Hivi s wanasema anayetumia dose ni mara chache kumuathiri mwenza wake ambaye hajaanza kutumia nyie mlikua mnakomoana?? Kubali hali halisi maisha yaende hata ukimfanyia cha kumfanya haimaanishi ndio utapona, usimsingizie jamaa ako mana haiwezekani ukimwi apewe mwengine hasira zikupate we mshikaji
 
Coffee

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
1,181

Atakuwa ni yeye mwenyewe anazuga rafiki yake. Akubaliane na hali maisha yanaendelea tu mbona.
 
Sang'udi

JF-Expert Member
May 16, 2016
2,397
2,000
Wote hawakutimiza wajibu. Walipaswa wapime afya zao kabla ya kuoana na kufanya tendo la ndoa.

Hakuna haja ya kumlaumu huyo mwanamke. Msamaha unatakiwa kwa kila mtu na nafsi, halafu maisha yaendelee.

Kuna maisha baada ya kuwa waathirika wa VVU na UKIMWI.
 
Los técnicos

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
2,468
2,000
Jamaa yangu alichukua demu wana kama miaka miwili sasa.

Kumbe demu kaungua na alikuwa tayari kwenye tiba ila alimficha jamaa yangu asijue.

Sasa wote wawili ni waathirika.

Lakini naamini yote ni kwa sababu demu hakumweka wazi jamaa yangu.

Hatujui hata tunamfanya nini huyu demu. Kifupi hasira zipo juu hata sitaki kumuona huyo demu maana sina hakika ya nitakachomfanyia.
Nilijua labda kamchoma na kifaa chenye maambukizi. Hayo ni makubaliano yao sioni kama yanakuhusu.
Kama hakutumia hata kinga huoni jamaa yako alikuwa tayari kwa lolote
 
feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
3,155
2,000
Pole sana kwa kilichokupata Kaanze tiba na ujikubali

#Hii michezo ya kusema fulani wakati ni wewe itakugharimu uwe wazi usaidiwe
Jamaa yangu alichukua demu wana kama miaka miwili sasa.

Kumbe demu kaungua na alikuwa tayari kwenye tiba ila alimficha jamaa yangu asijue.

Sasa wote wawili ni waathirika.

Lakini naamini yote ni kwa sababu demu hakumweka wazi jamaa yangu.

Hatujui hata tunamfanya nini huyu demu. Kifupi hasira zipo juu hata sitaki kumuona huyo demu maana sina hakika ya nitakachomfanyia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom