Kwanini mwanamke ukimuache ndiyo anazidi kupendeza?

Kwanini mwanamke ukimuache ndiyo anazidi kupendeza?

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
5,261
Reaction score
3,732
Wanawake mnahusika kujibu kama nanyie mnatuonaga twavutia baada ya kutemwa yaani mnapotuacha tunazidiga kupendeza? au ni sisi tu vibeberu.
Tuelezee kidogo ulijisikaje, au unajisikiaje unapokutana na x- wako, ukiomba atakukubalia? na asipokukubalia utumie mbinu gani, ili ukate kiu!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukimuona mtu anazidi kupendeza baadae ya kuachana nae ujue ulikuwa unamchosha kupita maelezo.

Kuhusu swala la kukutana na X etc. etc . Hisia huwa zinakuwepo kama tu mliachana bila ya kuwa maji yamefikia ukingoni. Ila kama yalishafika (there is always that ONE LAST breakup) hisia haziwezi kurudi labda kwa dawa. Utaishia kumuona kama dada/kaka tu.
 
Mwanamke anapoachwa na mwanaume wake huanza kujipamba na kujitengeneza ili apate soko jipya,soko likishapatikana basi kujipendezesha hupungua rejea kwa married women wanajiachia sana maana wanajua mume yupo tu.
 
Tee ! teh! teee! Mkuu! kumchosha na kumneemesha ni sehemu ya maisha kama tulivo apa kanisani, tena mbele ya audience ya malaika, kuwa nitamlinda mume wangu kwa shida na raha. na kuongezea eeeh Mungu nisaidie.
 
Mwanamke anapoachwa na mwanaume wake huanza kujipamba na kujitengeneza ili apate soko jipya,soko likishapatikana basi kujipendezesha hupungua rejea kwa married women wanajiachia sana maana wanajua mume yupo tu.
kwa hiyo nimfanye kamchepuko tu eti?
 
karibu kwenye jukwaa hili naona u-mgeni wa jana
Siyo wa jana mkuu, umekosea, tuna mwezi hivi yapata, tulikaribishwa kwa moyo mkunjufu tena tukafanyiwa na sherehe kuubwa kabisaaa!

wengi walikuja na ilikuwa patashika kazi na Bata chini ya DJ kimbuzi kimsaraba, waliokuja ni;

Mkuyenge alikuwepo,
Ulimakafu alikuwepo,
Tate mkuu alikwepo.
Ledada alikuwepo,
Google helper alikuwepo katoto kazuri, zitto jr, cha pombe
J40 alikuwepo
Tatanyarusare ruya alikuwepo, Melo mwenyewe alikuwepo nk isipokuwa wewe.
 
Ukiona kwako alikuwa hapendezi ila baada ya kumuacha au kuachana anapendeza, ujuwe ulikuwa humtunzi vizuri... Kuna watunzaji hukoo wanampendezesha.....

Mwanaume kipende cha kwako, kipendezeshe kipendeze
 
Wanawake mnahusika kujibu kama nanyie mnatuonaga twavutia baada ya kutemwa yaani mnapotuacha tunazidiga kupendeza? au ni sisi tu vibeberu.
Tuelezee kidogo ulijisikaje, au unajisikiaje unapokutana na x- wako, ukiomba atakukubalia? na asipokukubalia utumie mbinu gani, ili ukate kiu!
Ki - kawaida kabisa, binadamu hata akiwa na asilimia 90 ya mazuri kwako. As long as ana asilimia makosa 10 na uko naye utaona hizo 10. Sasa akishaondoka ile asilimia 10 huioni ndio macho yanafunguka unaona asilimia 90 ya uzuri. Hapo ndio pana kilio na kusaga meno.
Always the grass is greener on your neighbors garden
Waswahili nao husema, "M'baya akiwa kwako"
 
Duuu! umenikuna sana, mpaka nimekumbuka milima ya mbali haina mawe! kwa usemi huu lazima nimbembeleze tu niwe nyumba ndogo yake unajua nita fanyaje?

najipendekeza kwa mtoto sasa, wanawake si wanapenda watoto? hapo unaonaje!
 
Hahahaha sio wote wanapendeza kwauwezo wanaopata ila wengi wao wanaforce ili waonekane bado wapo vzr naikibidi ujilaumu naikikupendeza urudishe majeshi
 
Anakuwa hajapata bwana mpya akipata bwana upendo wote anauhamishia huko.
 
Mimi namuona ex boyfriend kama ng'ombe pori[emoji23]. Yani yani huwa najiuliza ilikuwaje kuwaje ndio nikawa nimefall hapo. Yani najiulizaga sipati majibu. Na siwezi kurudiana nae hata kwa mtutu[emoji107][emoji107][emoji107]
 
Kweli? Angalia sana uliye naye km si mtu wa bagamoyo si dhani.kuna watu waweza fanya ukachukua hata nchi na usirudi
 
Mie Nadhani mleta mada anamaanisha mwanamke ANANAWIRI baada ya kuachana..

Hii inatokea pale mahusiano!/ndoa yake ilikuwa ya kero na maudhi matupu
 
Back
Top Bottom