Hizi ndio sababu kwanini mahusiano ya kisasa hayadumu.

coockie monster

JF-Expert Member
May 2, 2015
357
669
  1. Kwanza ngono,halafu mapenzi.wachache kati ya ninaowajua wameanzia kwenye ngono kwanza baada ya kunogewa ndio wakaamua kua katika mahusiano
  2. Yana muda mfupi sana,watu wanaachana fasta tu na kuanzisha mahusiano mapya fasta tu.quantity over quality,online dating imefanya watu kua kama bidhaa tu
  3. Hayapo serious na ukiwa serious unaonekana boya
  4. Kua na lifestyle badala ya tabia imefanya watu wapende sana wanaume wenye magari,pesa na wanawake wengi wanaomshobokea badala ya tabia njema
  5. 80% of women competing 20% of men
  6. Hamna tena kujitoa katika mapenzi,kwanini ujitoe wakati kila siku unaweza ukaanzisha uhusiano mpya
 
Huyu jamaa sijui aliwazaga nn tu hapaa..
IMG_20190823_081544.jpeg
 
Ishu ni kumpata mtu sahihi anaefit kwenye upendo wako vinginevyo lazima utembelee hayo uliyoyasema na kupelekea mwsho kuwa karibu
 
Back
Top Bottom