Konzo Ikweta
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 745
- 1,504
Sina nia ya kumkwaza, kumkera au kumkejeli mtu yeyote. Sina mamlaka ya kuwa na maoni kwenye maisha binafsi ya mtu yeyote. Sina kibali cha kua mshauri wa maswala binafsi ya watu, na wala opinions zangu sio S.I Unit ama sheria, ila niseme tu ukweli bila kumung'unya ulimi "Kama unatoa PESA kwa ajili ya sex, wewe ni bonge la boya"
Kijana Kama kijana kuna bidhaa nyingi sana za kulipia hela yako kabla hujaanza kununua sex. Na kama unajikuta unatoa hela kwa ajili ya sex basi kuna vitu kadhaa havipo sawa:
1. Upo kwenye relationship na malaya. Mahusiano yenu ni ya money-sex relationship. Usipotoa hela mahusiano yanakufa, na yeye asipotoa penzi mahusiank hakuna
2. Hauna kitu kingine unaweza kuOffer kwenye relationship yako zaidi ya pesa... Hauna knowledge, content, akili, skills, talent, expertise, wisdom, ubunifu, experience nk
3. Unajiona kutoka ndani kuwa wewe ni kilaza, sijui nisemaje - kitu kama kuwa na 'low self esteem'. Sasa ktk huo ukilaza unajiaminisha kwamba kutoa pesa kutakupa confidence
4. Certainly, Akili zako ni fupi sana kiasi kwamba haziwezi kutawala hisia. Ukijiona una mademu wawili kwa wakati mmoja jua akili yako ni ndogo kuliko hisia. Na ili kuziridhisha hisia zako unajikuta unalipia sex. Na km unaongozwa na vichwa viwili kwa wkt mmoja, utachelewa sn kupenya
Real hustler aliyekamilika ana partner mmoja tu na hustler siku zote anamTrain partner wake kuwa beast ktk kuHustle. Nyakati zimebadilika sana, unaweza ukawa unapita tu njiani afu pimbi mmoja 'akachomoa betri' hustler ukafa fasta, km ulimzoesha partner wako kumpa hela za bure bure, ukiwa haupo atakua mzigo na wahuni watapakua kila kukicha
Imagine ktk relationship ambayo mpo wawili tuu, alafu wote ni hustlers, mnaweza kuamua tu Weekend mwenda vacation Cape Town afu yoyote kati yenu anaweza kuswipe card kulipa bills zote. Girls kama jamaa yako hakufundishi jinsi ya kutafuta pesa zako mwenyewe umelamba galasa big time
[emoji654] Comred Mbwana Allyamtu