wanawake toeni sifa za wanaume wanaovaa suti

wanawake toeni sifa za wanaume wanaovaa suti

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Masela mpo? Vaa suti yako piga pasi inyooke fresh simamisha demu yoyote uone kama ataruka haruki, cm yangu imejaa no za watoto wa ifm wengine nshawasahau sasa najiuliza kwamba suti zinawaogopesha wadada au ukivaa suti unaonekana unahela?? Wanawake embu toeni sifa za sisi wanaume tunaovaa suti

Uzi tayari
 
Ukiwa mfupi halafu una kitambi, ukivaa suti unaonekana Kama gunia lililo jazwa pamba
Hhahahhahaa mshenzi sana umesababisha nimepaliwa eti gunia lilojazwa pamba, kwahyo mm na ufupi wangu pamoja na hiki kitambi huwa naonekana kama gunia lilojazwa pamba bila kujijua kuanzia leo sivai suti.
 
suti zimepigwa chenga na gari kama huamini simama barabaran na suti yako halafu ita huyo dada ile anakuja kaka aliyevaa tshirt yuko kwenye gari nae amwite utaona anaelekea wapi
Duh aisee jamani wanaume wenzangu msipite bila kuisoma hii comment imetoka kwamtoto wakike
 
Suti inategemea.Kama za mzee wasira au kama za waimba kwaya mmmh!Miguu size 35.Suti inate na mwili isijikunjekunje halafu kuwe na rangi gray,black,dark blue.Ila ya njano au kijani kama the mask au pimp.hahaha!!Nope.
 
Umesahau red[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom