Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,553
1. Ukimuongelesha tu anawahi kukukasirikia tena anakimbilia kusema muachane
2. Kuwa na marafiki wengi wa kiume, ukiona kwako wanaletwa wageni wa kiume ujue unaibiwa peupe.
3. Wanapenda vitu vya juu, kabla ya kuishi naye hakuwa hivyo ila baada yakukaa naye tu anakuomba vitu vya gharama ili mradi ushindwe atafute sababu ya kuachana.
4. Wanadharau sana.
5. Ukimuomba unyumba anasema yeye hajisikii ujue tayari umeshasaidiwa na mwanaume mwenzio.
Nb: Shtuka mwanaume mwenzengu ukiona dalili hizo.