Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
Mida yangu hasa ni jioni au usiku napokuwa nimepumzika.
Siku ukiniona katambike.
Wewe je?
Siku ukiniona katambike.
Wewe je?
Inategemea uko upande gani wa dunia mkuu. Mchana yako ni jioni au usiku mwingi kwingineko.sasa hivi jioni au usiku?
we upo upande gani?