Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
"Baby nina mimba yako" jibu kama mwanaume wa shoka
😎😎Ehe! wife tunajiandaaje kwa hilo?
Lugha ngumu mkuu ndio maana mzee mmoja aliwahi kusemaWajibu kama wamepewa taarifa mbaya
Wajibu kama wanaume wa shoka
Sasa kipi ni kipi🙄
😂😂😂😂😂
Npo pabaya taku pigia badae
Wajibu kama wamepewa taarifa mbaya
Wajibu kama wanaume wa shoka Sasa kipi ni kipi🙄
[Mwanaume wa shoka]
ol of ze abavWajibu kama wamepewa taarifa mbaya
Wajibu kama wanaume wa shoka
Sasa kipi ni kipi🙄
Nora ft f aKama pesa sina.ntakusaidia kukuchagulia tu jina