Siku mkeo au demu wako atakwambia kuwa huwa ana bodaboda wake basi jitahidi na wewe utafute mama nitilie wako. Wakati mwingine inakera sana, mtu kumng’angania mtu huyo huyo kwani hamna wengne...
Wiki chache zilizopita mtoto wa mwenzetu alipoteana na mama yake katika tamasha akiwa katika harakati zake za kusheherekea. Kwa dakika kadhaa mama yake alipata hofu sana akidhani kampoteza mwanae...
Kuna sehemu nimejionea jibaba la miaka 57 linatembea na binti wa miaka 19 yaani mtoto wake kama sio mjukuu wake tena kama limeoa kabisa.
Yaani limekachukua linaishi na ako katoto kwa kawaida...
Msichana Wa Kizungu Akitaka Penzi anakutizama Usoni Kisha Anakwambia " Let,s Do it Sweetie "
Msichana Wa Kitanzania Sasa Akitaka penzi atakuuliza Muda Ukimjibu
Utamsikia Baada Ya Nusu saa Mimi...
Wakati mwingine tafuteni nafasi Kukaa Pamoja Ni Muhimu sana Kwa Watu Mnaopendana Mkakatana Hayo Makucha Miguuni Na Mikononi Na Kunyoana "NYWELE" Pia Kuongozana Pamoja Mkiwa Na Muda. LOVE SHOULD BE...
1.Kupenda usipo pendwa.
2.Swala la dini.
3.Tabia.
4.Uvumilivu na swala la maamuzi.
5.Wazazi kuto ridhia.
6.Ushauri, maoni na maneno ya watu wanao kuzunguka na mapokeo yake.
7.Uaminifu.
KIPI...
Habari za mchana wanajamii,
Naombeni mbinu za kuishi na mume bahili/mchoyo.
Mwanaume ni mchoyo jamani, vitu viikisha ndani atajikausha utafikiri sio yeye ndo baba wafamilia. Umeme unakatika...
Aman iwe nanyi
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, nashangazwa nakusikitishwa na baadhi ya wanaume kupenda mteremko,
Kwa watu wa pwani si ajabu, lakini vipi wanaume wa bara? mnaojinasibu...
Perfect strangers ni muvi ambayo inazungumzia hasara za simu katika maisha ya mahusiano na maisha ya kawaida.
Hii muvi inahusu marafiki wanne na wake zao ambao wenyewe wanaamini wanafahamiana...
Habari za humu wadau....
Leo nataka nitoe tabia za njiwa
especially wewe unaetaka kuwafuga.
1:Kwanza kabisa lazima wawe wawili 'pair'(jike na dume).
2:Njiwa wakiwa mbele yako usipende...
Asubuhi ya leo nikiwa na wenzangu wa club yetu ya mtaani baada ya kumaliza mazoezi tukawa tumekaa sehemu tunapata vinywaji. Meza niliyokaa nilikua na rafiki zangu wengine watatu, mwanamke mmoja na...
Duh kweli dunia duara, it was so amazing kuonana na huyu ex wangu tulipotezana baada ya kumaliza form 4, nikaingia advance boarding naye wakahama sehemu walipokuwa wanaishi.
Baada ya kutoonana...
Kwa wale ambao wameshawahi kuhonga hela kwa dada zetu (kaka zetu pia kama wapo), nauliza mara ya mwisho ushawahi kumtumia kiasi gani?
Me nishawahi kuhonga 15,000/= dah hadi leo kila nikiikumbuka...
Hata nabii suleiman alikuwa na vijakazi aliwatumia kama wake zake.
Jambo ili wamama wengi hamtaki lakini tambueni wao pia ni binadamu wanahitaji kuhifadhiwa.
Habari zenu waungwana.?
Kuna mwanandoa mpya kaja kuniuliza hivi "kuna mazara yoyote kuchujilia chini chungu"
Akiwa na maaana hiii mke wake ametoka kujigungua miezi 4 iliopita ingawa tangu...
Natamani hata niwakaribishe majemedari wenzangu kunako hii papuchi yenye viwango na sifa zote nzuri.Sio mapapuchi hata hayaeleweki.Mapapuchi full vimiminika na harufu za ajabu ajabu pasipo kusahau...
Lahasha!! Kwa hapa bongo hakuna dada mwenye jeuri ya kurudsha muamala wa 100k hivi hvi anaanzaje kwa mfano??. Wanawake wa bongo sikuhz hata akufumanie ukimpa cash anatulia vzr tu. Twende kwa mada...