my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Kwa vile hauoni haina maana hakipo, kipo lakini ndio hivyo huoni...!
Ndio msemo.Ndio nini
Bint una stress za mapenzi au mahusiano, yaani umekuwa mwehuNdio msemo.
Huo msemo una apply katika maisha kwa vile kichwa chako kitupu huwezi kuelewa 🤦Bint una stress za mapenzi au mahusiano, yaani umekuwa mwehu
Duh 😂😂Upo sahihi...
Unakisifu chakula cha mkeo ndicho kitamu kuzidi vya wanawake wengine sio kwasababu ni mpishi mzuri ni kwasababu hujaonya vya wanawake wengine.
Inawezekana kipo, lakini hukioni. Mimi sikuoni hapo ulipo, lakini kutokukuona kwangu hakumaanishi haupo.Kwa vile hauoni haina maana hakipo, kipo lakini ndio hivyo huoni...!