Njiwa wapo kama binadamu kunako mahusiano.

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
Habari za humu wadau....
Leo nataka nitoe tabia za njiwa
especially wewe unaetaka kuwafuga.

1:Kwanza kabisa lazima wawe wawili 'pair'(jike na dume).

2:Njiwa wakiwa mbele yako usipende kuwajadili,hawatakagi masimango na perepete mingi,wataondoka!.

3:Njiwa hufatilia nyendo na mbanga za mfugaji,ukiwa mlevi hawakai lazima wataondoka..Vurugu na njaro za Kiraru hawamaind hasa mapompolimpo na kelele mingi.

4:Wakati wa ugomvi wa mfugaji na Let say na raia mwengine,njiwa hu'chill juu ya paa kusikiliza then huondoka na hawageuki tena.

5:Hawapendi kudekerea/kuona Umechinja wenzao mbele yao.

6:Njiwa mmoja wao akivuta/akifa huomboleza so inashauriwa umtafute mwenza haraka kwa anaebaki.

7:pia Njiwa hawapendi makelele ya kushtukiza kama honi,miziki mikubwa(Miginyo)na kuwarushia mawe.

8:Njiwa ni wapili kwa wivu baada ya Nyegele,Nyegele ana wivu sana kwa jike lake na huwa anatembea akiwa nyuma ya jike,Kama ikitokea ata jani tu likagusa Papuchi(uke)wa jike lake unaambiwa Nyegele dume huanzisha vita na jani hilo hadi lishike adabu.

@NgarenaroBoy.
 
Hapo namba 7 vepe maana njiwa wanapenda mashineni za kusaga mahindi sanaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom