Mapenzi kizungumkuti

thisisboman1

Member
Feb 11, 2019
5
10
1.Kupenda usipo pendwa.
2.Swala la dini.
3.Tabia.
4.Uvumilivu na swala la maamuzi.
5.Wazazi kuto ridhia.
6.Ushauri, maoni na maneno ya watu wanao kuzunguka na mapokeo yake.
7.Uaminifu.

KIPI KWAKO HUZOROTESHA MAHUSIANO.

"MWANAMKE KUWA MGUMU KUBADILI DINI CHANGAMOTO ZIPI UNADHANI ANAZIPITIA"
 
Namba saba kwangu naona huzorotesha mahusiano kuliko niwe na mtu wa dini tofauti ni heri nitulie tu nisubiri riziki nyingine
 
Namba saba kwangu naona huzorotesha mahusiano kuliko niwe na mtu wa dini tofauti ni heri nitulie tu nisubiri riziki nyingine

Hili pia kwangu limechukua nafasi kubwa sana kuuwa mahusiano kwangu mana kila ninapo bahatika ni ustadhati ubaya zaidi kila ninaye mpata inakuwa ngumu kwake kuingia ukristo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom