Kuna mwanamke mwenye jeuri/ kiburi kama cha huyu bibie?

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,211
39,034
Lahasha!! Kwa hapa bongo hakuna dada mwenye jeuri ya kurudsha muamala wa 100k hivi hvi anaanzaje kwa mfano??. Wanawake wa bongo sikuhz hata akufumanie ukimpa cash anatulia vzr tu. Twende kwa mada ni almost week imekata nilileta uzi wa X wangu kutaka turudiane sasa taarifa hii ilinifanya kuanza kurudsha feelings kwa X nkajikuta sina time na mpenz wangu wa sasa.

Automatically mapenz yakaanza kufa kadri nilivyokuwa nakumbuka penz letu na X enz hzo, so nkawa simtafuti akinitafuta namwambia nko busy afu ndo mazima hyo akipiga sipokei, niliingiwa na pepo baya sana la X, ile jmc nakumbuka alinambia anaumwa anajiskia vbaya siku care nkaendelea na mambo yangu jana asbh akanipigia cm akalalamika sana nkaingiwa na Roho ya huruma ghafula na hapo pepo la X likanitoka.

Sikuona case nkamtumia muamala wa 105k ili atoe 100k imsaidie hosp na matunda aisee dk3 muamala unarudishwa na txt juu " Sihitaji pesa zako me nahitaj penzi lako nahitaji mapenz yako nahitaji kunijali na kunithamini" niliwaza nkajisemea moyoni huyu mwanamke ndo ananionyesha dharau hivi?? Kurudisha muamala wa mwanaume si dharau hzi jaman.,, Masela au kuna mhuni anampa pesa??
 
Ukimuacha huyu mwanamke utakuja ujute maisha yako yote.

Mark My Words.

Aisee ww ni mjinga. Huyo mwanamke hana shida na pesa zako. Ana shida na penzi lako. Si dharau.

Na hiyo ni attribute ya mke mwema. Aisee.. usimuache kisa x.
Huyo x wako wa buza .. ukimtumia hata 50000 harudishi hata 100
 
Lahasha!! Kwa hapa bongo hakuna dada mwenye jeuri ya kurudsha muamala wa 100k hivi hvi anaanzaje kwa mfano??. Wanawake wa bongo sikuhz hata akufumanie ukimpa cash anatulia vzr tu. Twende kwa mada ni almost week imekata nilileta uzi wa X wangu kutaka turudiane sasa taarifa hii ilinifanya kuanza kurudsha feelings kwa X nkajikuta sina time na mpenz wangu wa sasa.

Automatically mapenz yakaanza kufa kadri nilivyokuwa nakumbuka penz letu na X enz hzo, so nkawa simtafuti akinitafuta namwambia nko busy afu ndo mazima hyo akipiga sipokei, niliingiwa na pepo baya sana la X, ile jmc nakumbuka alinambia anaumwa anajiskia vbaya siku care nkaendelea na mambo yangu jana asbh akanipigia cm akalalamika sana nkaingiwa na Roho ya huruma ghafula na hapo pepo la X likanitoka.

Sikuona case nkamtumia muamala wa 105k ili atoe 100k imsaidie hosp na matunda aisee dk3 muamala unarudishwa na txt juu " Sihitaji pesa zako me nahitaj penzi lako nahitaji mapenz yako nahitaji kunijali na kunithamini" niliwaza nkajisemea moyoni huyu mwanamke ndo ananionyesha dharau hivi?? Kurudisha muamala wa mwanaume si dharau hzi jaman.,, Masela au kuna mhuni anampa pesa??
We unahitaji maombi pumbavu sana......
 
Yupo mmoja nilikosea namba nikatuma laki tisa kwenye simu yake.

Sikuwa nimejua kuwa nimekosea namba. Sijui siku ile nilikuwa na nini maana siku hizi sio rahisi kukosea pesa kutokana na jina kuja la unayemtumia.

Nilikuwa namtumia manzi angu akachukue.mzigo pale Kariakoo.

Baada ya Saa mbili simu yangu ikaiita kwa namba ngeni. Nilipokea. Aliongea mwanamke mwenye sauti tulivu akijatumbulisha kama Sara Ndosi. Nilikuwa nimetulia sio kwa kutaka kujua anataka kusema nini bali Sauti yake tamu.

Aliniuliza leo nilituma pesa yoyote. Akili ikanizunguka na nikajibu kwa kutetema.

Alinirudishia hela yangu. Sikuamini mpaka kesho. Mpaka sasa ni rafiki yangu mkubwa.

Mungu akuzidishie Sara Ndosi Mwanamke muaminifu
 
pesa mpe uyo X yeye mpe mapenzi full stop
 
Umewahi onana naye?
 
Back
Top Bottom