Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Wakati mwingine tafuteni nafasi Kukaa Pamoja Ni Muhimu sana Kwa Watu Mnaopendana Mkakatana Hayo Makucha Miguuni Na Mikononi Na Kunyoana "NYWELE" Pia Kuongozana Pamoja Mkiwa Na Muda. LOVE SHOULD BE SUPERB.
Niongeze sauti au inatosha
Niongeze sauti au inatosha