Naziona sababu za msingi house girl awe mke wa pili

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Hata nabii suleiman alikuwa na vijakazi aliwatumia kama wake zake.
Jambo ili wamama wengi hamtaki lakini tambueni wao pia ni binadamu wanahitaji kuhifadhiwa.
 
Nyumba yako, mke wako , fanya unavyotaka aiseeh
 
Hata nabii suleiman alikuwa na vijakazi aliwatumia kama wake zake.
Jambo ili wamama wengi hamtaki lakini tambueni wao pia ni binadamu wanahitaji kuhifadhiwa.
Kikao kilichopita tulilijadili hili kuwa "Usimdharirishe mke wako kwa kutembea na house girl ".
 
Back
Top Bottom