Wazee acheni hii tabia

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
461
644
Kuna sehemu nimejionea jibaba la miaka 57 linatembea na binti wa miaka 19 yaani mtoto wake kama sio mjukuu wake tena kama limeoa kabisa.

Yaani limekachukua linaishi na ako katoto kwa kawaida kalitakiwa katembee na vijana wenzake ila hili lizee limekashikilia na wivu linakaonea kakisimama na watu.

Wazee acheni hiyo tabia henzi za ujana wenu mlikuwa mnafanya nini?haya ndo matatizo ya kuruka developmental stages..
 
Kwa iyo baada ya kumjua nje ndani huyo mzee wa humu jf umeanza kumuanika?

Ni wewe ndio unatembea naye bila shaka.

Wazee wanataka dogodogo, vijana kutwa humu mnalalamika hamna pesa, Dogodogo wanataka pesa, pesa zina wazee..! Mbuzi kafia kwa muuza supu.

Life goes on
 
Ngoja waunguze mbegu za uzazi kwa kukomazwa mpaka watapostuka kuvuta shuka tayari kutakuwa kumeshakucha na Wazee watakuwa washaamsha popo.
 
As long as amefikisha miaka 18 mwache mzee ale maisha, punguza wivu
 
Mapenzi hayana umri muulize Profesa Kapuya
Kuna sehemu nimejionea jibaba la miaka 57 linatembea na binti wa miaka 19 yaani mtoto wake kama sio mjukuu wake tena kama limeoa kabisa.

Yaani limekachukua linaishi na ako katoto kwa kawaida kalitakiwa katembee na vijana wenzake ila hili lizee limekashikilia na wivu linakaonea kakisimama na watu.

Wazee acheni hiyo tabia henzi za ujana wenu mlikuwa mnafanya nini?haya ndo matatizo ya kuruka developmental stages..
 
Kuna sehemu nimejionea jibaba la miaka 57 linatembea na binti wa miaka 19 yaani mtoto wake kama sio mjukuu wake tena kama limeoa kabisa.
Yaani limekachukua linaishi na ako katoto kwa kawaida kalitakiwa katembee na vijana wenzake ila hili lizee limekashikilia na wivu linakaonea kakisimama na watu.
Wazee acheni hiyo tabia henzi za ujana wenu mlikuwa mnafanya nini?haya ndo matatizo ya kuruka developmental stages..
Usikute hata huyo binti anapenda wazee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom