BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,028
Salute wakuu,moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu..
Baada ya kupata misukosuko kwenye mahusiano yangu,na hatimaye kuachana na mtu niliye mpenda mno..
Ref thread=Wenzangu mlivuka vipi haya maumivu makali ya kuachwa? - JamiiForums
nmeamua kutuliza kwanza akili nifanye mambo yangu mingine.
Nimebahatika kuwa jirani na dada mmoja ambaye tumekuwa marafiki hata kabla mahusiano yangu hayajavunjika,
Huyu dada yeye anadai alikuwa na mpenzi wake,kwa takribani miaka minne.ila waliweza kuachana mwezi wa tatu mwaka huu.
Anadai kwamba,kuanzia mwezi wa sita jamaa amekuja na speed kali ya kutaka warudiane tena kwa lazima,kila Aki block namba yake,jamaa anatumia namba nyingine.
Kinacho muumiza zaidi huyu dada,huyo ex wake amefikia hatua ya kutaka kuja kumletea fujo anapo ishi..na anamtishia kuwa atakuja kumfanyia kitu kibaya saana.
Baada ya kusimuliwa hayo,nikawa nimeshangaa mno.nkajiuliza saana hivi wanaume wa aina hii ni kweli wapo hapa Tanzania?
Nimekosa hata cha kumshauri huyu dada,maana kwanza sijaamini kama kuna baadhi yetu sisi wanaume tunafanya vitendo vya aina hyo baada ya kuachana na mwanamke.tena ukizingatia jamaa ni mtu ambaye age imeenda (around 29) kwa mujibu wa maelezo ya bi dada