Mpenzi wake wa zamani bado anamuhitaji kimapenzi

Mpenzi wake wa zamani bado anamuhitaji kimapenzi

jem_the_great

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
289
Reaction score
159
Habarini wana MMU.

Jamani nina girlfriend wangu tunakama mwaka mmoja na miezi kadhaa, kiukwel nampenda ila tatizo linakuja mwanaume aliyekuwa nae(ex boyfriend wake) bado anamsumbua sana, yaani jamaa ni king'ang'anizi sijapata kuona.

Mara ya kwanza niliona kawaida ila imefika hatua hiki kitu kimeanza kuwa kero kwangu.

Jamaa anatuma message na kupiga simu mara kwa mara ingawa my girl ananiambia ameacha kupokea na kingine anapost picha za girlfriend wangu FB akidai kuwa ndo mke wake mtarajiwa.

Naombeni ushauri wenu nimfanyaje huyu mtu?
 
habarini wana MMU..jaman nina girlfriend wangu tunakama mwaka mmoja na miez kadhaa,kiukwel nampenda ila tatizo linakuja mwanaume aliyekuwa nae(ex boyfriend wake) bado anamsumbua sana,yanii jamaa n king'ang'anizi sijapata kuona.mara ya kwanza niliona kawaida ila imefika hatua hiki kitu kimeanza kua kero kwangu..jamaa anatuma sms,anapiga simu mara kwa mara ingawa my girl ananiambia ameacha kupokea..na kingine anapost picha za girlfriend wangu FB akidai kuwa ndo mke wake mtarajiwa!!!!!naomben ushaur wenu nimfanyaje huyu mtu???
siku moja usiku wa manane mpigie huyo jamaa kwa kutumia simu ya demu wako mwambie kuwa unakula mzigo muda huo aache kusumbua sumbua!!!! na mwanamke awe anatoa sauti flani hivi najua unazijua hizo sauti kama akikufatilia tena sijui....!!!!!!
:ranger:
 
Duh........aiseeee 👆👆👆
 
kama vipi mfanye fiesta jukwaa moja wasanii kibao
 
Acha ujinga,wewe na huyo demu wako mna matatizo makubwa,mblacklist kwenye sim ya huyo unaemuita mpenzi wako. Kwanza mpigie kupitia no ya huyo mpenzi wako umuonye kisha mtupie kwenye black list.
 
hapo mwanamke naye anampenda ex wake mkuu wala hakuna kitu kingine hapo...we piga ukiona umetosheka piga chini
 
muulize mwanamke wako kitu gani kilifanya waachane mpaka leo atake kurudi kwa kasi kama kimondo kilichoanguka mbozi...kha
 
heeenh??? abadili line simple tu........nae anataka kusumbuliwa tu huyo mwenzio si amueke blacklist
 
Mwanamke wako ndo anatakiwa kuamua si wewe umsaidie kuamua.
 
Si abadilishe laini zake tu! Mbona rahisi hivyo, pia amuwakie na kumpa ukweli kuwa hamtaki na ana mtu mwingine. Kama hafanyi haya, huyo mpenzio ndo anajilengesha kwake, bado anampenda. Hivyo usipoteze muda. Maamuzi atafanya yeye, wewe cha kufanya ni kumwambia achague wewe au yeye na atupe kuleeee namba zake pamoja na kubadili namba zake za simu. Akisuasua, huna chako, tafuta wako, na wewe huyo uwe unambandua tu hata akirudi kwa ex wake.
 
Siwezi badili line yangu kwa ajili ya mpumbavu mmoja.....never
 
siku moja usiku wa manane mpigie huyo jamaa kwa kutumia simu ya demu wako mwambie kuwa unakula mzigo muda huo aache kusumbua sumbua!!!! na mwanamke awe anatoa sauti flani hivi najua unazijua hizo sauti kama akikufatilia tena sijui....!!!!!!
:ranger:

mh!, akijinyonga je!
 
Back
Top Bottom