Ukipanga nyumba moja Na wanawake

Ukipanga nyumba moja Na wanawake

Emma M Bai

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
223
Reaction score
126
Kosa kubwa kutoka nje Na jasho ukitembelewa Na msichana kipindi cha joto kama dar
Unawezaje kuishi nao ????

ukitoka nje Na jasho tu
*Ndo maana hanenepi
*Kulegezeana K tu
*Anatoa Salam ndeefu nikamshitukia
*Hapo bado yule mwembamba
*Itabid ahame tu hizi sifa
*Kila siku anakula matikit
*Atamkondesha mtoto wa watu
*Me hata simtaki hata kama ata nipa kigari chake bure
*Kujitakia maradhi tu
 
Wewe unajua fika kuwa hiyo Nyumba ni ya wanawake Halafu unapanga hapo then unalalama, which type of banana are you?
Hapana mdau ...mfano nilipamga nyumba mpyaaa Niko peke yangu ndio naanza maisha chumba na sebule self 2010 ... Nyumba ilikuwa na vyumba sita vyote sebule na self. Ghafla bin vuu wiki iliyofuatia waliamia wasichana vyumba vyote vilivyobaki na tuliajiriwa nao full singles ... Ila nilikula Bata Sana ... Maana sikupika mpaka nahama hapo Leo unaalikwa huku kesho kule yaani hoyahoya tu. Mmoja wapo akatokea kuwa mkwangua vocha basi freeesh nikiwa na vocha zangu naenda anakwangua naingiza vocha fresh mazungumzo ya kimwili yanaendelea
 
Ohooo, vijana wa Dar ngoja waje na izoefu wao. Ingawa nimepata tabu sana kuielewa hii post
Daaa bas mi ninaakili ndogo , mana sihaelewa kabisa
Aliyeelewa anielweshe
Sasa ndio umeandika nini?
sisi wengine vilaza.. kuelewa ngumu
mleta thread ana
Kuandika kipaji na si kila mtu anacho
Mleta thread anasema hivi: UKIPANGA NYUMBA MOJA NA WANAWAKE WENGI, WANAKUWA WANA MANENO MENGI SANA, KWA MFANO IKITOKEA ULIKUWA NA MWANAMKE NDANI KWAKO, HALAFU UKATOKA NJE UNATOKWA NA MAJASHO, BASI HAO WAPANGAJI WENZAKO WATAANZA KUONGEA MANENO MENGI MENGI JUU KAMA HAYO ALIYOYAORODHESHA HAPO JUU

*Ndo maana hanenepi
*Kulegezeana K tu
*Anatoa Salam ndeefu nikamshitukia
*Hapo bado yule mwembamba
*Itabid ahame tu hizi sifa
*Kila siku anakula matikit
*Atamkondesha mtoto wa watu
*Me hata simtaki hata kama ata nipa kigari chake bure
*Kujitakia maradhi tu
 
mleta thread ana

Mleta thread anasema hivi: UKIPANGA NYUMBA MOJA NA WANAWAKE WENGI, WANAKUWA WANA MANENO MENGI SANA, KWA MFANO IKITOKEA ULIKUWA NA MWANAMKE NDANI KWAKO, HALAFU UKATOKA NJE UNATOKWA NA MAJASHO, BASI HAO WAPANGAJI WENZAKO WATAANZA KUONGEA MANENO MENGI MENGI JUU KAMA HAYO ALIYOYAORODHESHA HAPO JUU

*Ndo maana hanenepi
*Kulegezeana K tu
*Anatoa Salam ndeefu nikamshitukia
*Hapo bado yule mwembamba
*Itabid ahame tu hizi sifa
*Kila siku anakula matikit
*Atamkondesha mtoto wa watu
*Me hata simtaki hata kama ata nipa kigari chake bure
*Kujitakia maradhi tu
Wee kweli ulimuelewa
 
Kumbe alimaanisha hivi mbalizi1 njoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom