Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

kama topic inavyojieleza natafuta mchumba wa kike umri wangu 25 na yeye awe na 18 -26 Awe single mother pia sio mbaya kikubwa 2pendane 2 Kwa maelezo mengi njoo Pm am SERIOUS
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Habari wana Jf , Mimi ni mwanaume wa miaka kadhaa (20's), hii ishu ivi inatokeaga watu wengi au ni mimi tu , ipo hivi ... Nilikuwa na mlupo mmoja hivi nilivokuwa form Six , tulianza kudate kipindi...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Kila mtu ana Starehe yake hapa Duniani,mwingine Anapenda sana pombe yaani yeye kwake pombe ndio kila kitu,mwingine kwenda club na kucheza muziki yaani huyu ukimnyima nafasi ya kwenda huko tu...
6 Reactions
93 Replies
15K Views
habarini wakuu Jana katika maongezi na jirani yangu wa kike amabaye ni pacha na hajaolewa bado akanambia "kikawaida endapo pacha mmoja akiwahi kuolewa hasa wale wadogo lazima na huyu mkubwa alale...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wasalaam wana JF, Sikuhizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kiume kutafuta wapenzi mitandaoni. Je sababu haswa ni ipi? Je ni kutojiamini au mitandaoni ndo kuna wapenzi wakweli?
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Mawasiliano ni kitu cha muhimu sana.Lakini si vizuri kwa masaa 24 kila mtu anayekutafuta awe anakupata kwenye mawasiliano.Ile hali ya mtu yeyote kukupata masaa 24 tunaita ni u-'cheap labour'.Yaani...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie ,,,,zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama...
12 Reactions
128 Replies
16K Views
Unapomuona mwanaume wako( Mwenza wako katika mahusiano yenu) amekuwa na tabia za kukuomba picha za utupu umtumie kupitia Wasap au anapiga video Call...huku akitaka umuoneshe maumbile yako ukiwa...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwanaume kumtupia lawama mwanamke kulianzia mwanzo kwa Adam na Hawa
9 Reactions
48 Replies
4K Views
Baada ya kununiwa kwa week2 mfulilizo bila kujibiwa txt wala kupokea my calls na kuniblock juu ofcourse nilikuwa crazy nilikuwa najua nmeachwa tayar. Huyu bint nampenda sana jaman ndomana niliomba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wahenga walisema mwanaume akitaka kukuacha hakosi sababu na akiwa anakwenda usi muulize msubiri akirudi. Kuna ukweli wowote katika maneno haya?
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Zamani yale mademu manunga embe ndo yalikuwa yanasoma kombi ngumu kama pcm au pcb na yalikuwa yanafaulu balaa na kufaulu kwao kulichangiwa na ubaya wao kwa kuwa walijua maishani wasiposoma...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Nikiwa club halafu nione demu ananishobokea namchukia sana na namkwepa kabisa. Kwa sababu naona huyu anajibebisha bebisha ili anipige kizinga nimnunulie bia.
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Huyu dada ana roho mbaya sana. amekuwa girl friend wa kaka yangu kwa mwaka mzima na walikuwa wanaishi wote Dar though walikuwa hawakai nyumba mmoja ila sleepover zilikuwa za kutosha. Siku moja...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Yani mwanamke aliye nizidi miaka ambaye sio ndugu yangu au mzazi wangu siwezi kumuamkia kamwe abadani kwa kuwa najua muda wowote anaweza kuwa mke wangu.
5 Reactions
26 Replies
5K Views
Kiufupi nimeoa mwaka 2017 na tumejaaliwa mtoto mmoja, ila kuanzia mwezi wa 12 mwaka jana nimekuwa katika hali ngumu na mke wangu katika ndoa, amekuwa hanisikii mimi kama mmewe kila kitu...
15 Reactions
159 Replies
17K Views
Wadau daah yani katika watu ambao hawaoni faida ya kondomu mimi ni namba moja Huu mwaka wa pili nawatia mademu bila kondomu na wala sina taimu ya kuvaa kondomu kwenye maisha yangu Kama kuna...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari za MMU wadau! Niende moja kwa moja kwenye mada. Leo katika mizunguko yangu maeneo ya Kigambonino kwenye jiji la makondactor basi nikamuona duu mmoja barabarani akiwa anatembea. Baharia...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya break up, mwanamke akianzisha mahusiano soon after anaonekana hajatulia na jamii inayomzunguka inamchukulia vibaya. Lakini mwanaume anapofanya the same thing, jamii hiyo hiyo inaona ni...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Nairaland Emmanuel Acheampong, a senior lecturer at the Ghana Institute of Management and Public Administration (GIMPA) Business School, has come out to share his experience on how a Nigerian...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…