Harufu ya asili ya mwanamke ni very romantic kuliko ya kujipulizia pafyumu

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,444
25,358
Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie ,,,,zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama mnayojipulizia

Kwa kifupi nikikaa na demu ambaye hajajipulizia pafyumu kile kiharufu chake kinachotoka huwa kinanivutia sana yani kuliko nikikaa na demu anayenukia pafyumu.

Hii siri nimewamegea usiipuuze izingatie sana.
 
Yaani kama ulikuwa kichwani kwangu,harufu asilia huwa inanifanya killer instinct zisisimuke,hata wakati niko kwenye oral ile harufu huwa naipenda sana,lakini utakuta wanajipakaa perfume iliyochanganyika na harufu ya mawigi kero tupu.
 
Hawajui tu hawa viumbe

Mungu amewapa harufu nzuri wanaikataa wanataka harufu iliyoletwa na mzungu.
 
Very true na huwa zinaongeza sana mahanjam.

Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie ,,,,zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama mnayojipulizia

Kwa kifupi nikikaa na demu ambaye hajajipulizia pafyumu kile kiharufu chake kinachotoka huwa kinanivutia sana yani kuliko nikikaa na demu anayenukia pafyumu.

Hii siri nimewamegea usiipuuze izingatie sana.
 
Naona umetumwa na wolper? Ile harufu ni mikojo isiponawishwa puchi ikikaa kwa muda ndio harufu huwa hivyo Ikichanganyikana na utoko... Balaa ila ikiwa na :Dkauvundo kiasi inaleta mshawasha furani na isiwe Kali Kama ya wolper:p
 
Mimi huwa napata taabu sana kwenye mwendo kasi unakuta dada kajipulizia perfume inaitwa KURUTHUMU inanuka bus zima. Yaani kuumizana vichwa tu.
msipangiane manukato ya kujipulizia
 
Mnadhani Mungu amewahi kukosea?? Yuko right all the time, na ana maana yake.!!! Anajua ampe harufu gani mwanamke, tofauti kbxa na midume..!!! Cha ajabu binadam hatuzitak zawadi alizotupa M. Mungu,, tunamwamini zaidi binadam mwenzetu kuliko yeye tusiyemwona..!!!

Na izo Cancer za ngozi na damu hazituachi Ng'o, zitatutafuna hadi kaburini..!!
 
Back
Top Bottom