kuhusu mapacha

kuhusu mapacha

Nyaubikra

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
1,738
Reaction score
4,232
habarini wakuu

Jana katika maongezi na jirani yangu wa kike amabaye ni pacha na hajaolewa bado akanambia "kikawaida endapo pacha mmoja akiwahi kuolewa hasa wale wadogo lazima na huyu mkubwa alale na huyo shemeji yake kwa mtindo wa threesome ili huyu mkubwa aridhie hiyo ndoa "
Nakuja kwenu member hii kitu ni kweli kuhusu mapacha

Bila kusahau nilimuuliza we ushapiga hiyo threesome akaishia kucheka tu .kikabila huyo dada ni mkinga

kwenye kujua kuhusiana na hili
 
Umeandika ujinga atawewe unaweza kutumia akili yako akajua hilo kwani pacha anakipi chatofouti na watoto wengine
 
habarini wakuu

Jana katika maongezi na jirani yangu wa kike amabaye ni pacha na hajaolewa bado akanambia "kikawaida endapo pacha mmoja akiwahi kuolewa hasa wale wadogo lazima na huyu mkubwa alale na huyo shemeji yake kwa mtindo wa threesome ili huyu mkubwa aridhie hiyo ndoa "
Nakuja kwenu member hii kitu ni kweli kuhusu mapacha

Bila kusahau nilimuuliza we ushapiga hiyo threesome akaishia kucheka tu .kikabila huyo dada ni mkinga

kwenye kujua kuhusiana na hili
Wakinga hawana taratibu za hivyo.
Huyo dada alitamani tu kuliwa na huyo shemeji yake. Ni malaya Kama wengine tu.
Kuolewa Ni uamuzi tu wa mtu.
 
Kwa hilo sjawahi kusikia sema yule asieolewa hupambwa tu na yeye kama mwenzie
 
Kweli we nyau... Kuwa pacha kuna ziada gani kwamba asiporidhia hiyo ndoa itakuaje? Fikra potofu tu hizo
 
Back
Top Bottom