Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,350
- 62,592
Wengi wanakimbilia ndoa,wakiamini watakuwa wanafanya tendo masaa 24 kwa siku...tatizo linajitokeza pale mhusika anapoamua kuwa halisia na kutaka kufanya tendo pale atakapojisikia yeye na si wewe utakavyojisikia.Hii hali imeleta migogoro mingi ndani ya wanandoa na kusababisha utafutaji wa wasaidizi.Je,unachokipata kwenye ndoa ndicho ulichokitegemea?