Eti wanaomba haki sawa,Eti wawe na haki sawa

Mkondo wa Nungwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2019
Posts
332
Reaction score
389
Ukiwa na akili huhitaji kuchunguza uwezo wa mwanamke na mwanamme upi ni bora na imara.
Akili za wanawake ambazo kila wakikuwa ndio zinapungua uelewa na kujiamini. Hawawezi kuwa na maamuzi sahihi bila ya sapoti ya mwanamme.

Kwa ushahidi huu niliouna niliamini wazi kama Muumba wa uhai amewajui kama wanawake ni dhaifu zaidi na kamwe hawawezi kupata haki sawa na mwanamme.

Kuna siku nimekaa akapita mwanamke mtu mzima wa miaka 45 kiasi kwa mbele kidogo kukawa na mbwa (koko) nilipatwa na mshangao mkubwa sana yule mwanamke alimuomba mtoto mdogo wa wastani wa miaka 10 amvuushe pale kwenye yule mbwa. Niliamini hawa viumbe ni watu wa kuwaweka karibu yetu tu lakini sio wa kuwapa 50/50.
 
50 HAMSINI TUWAPE YA KWENYE MAKARATASI TU, SIO IN REALITY MAANA HAITAKAA ITOKEE
 
Baby J
50/50 ya kwenye makaratasi ndio ipi?
YA Kusadikika tu yaani ya kisiasa basi lakini sio halisi....

Yaani mnataka kila kitu tuwe sawa kwa sawa...kila tunachofanya na nyie mfanye..? we unadhani itawezekana?
 
Nafahamu haiwezekani

Suala la 50/50 kati ya mwanamke na mwanaume halipo
Na uzuri ama ubaya wa huo usawa tunaoutaka ni sisi wenyewe tunaonesha kutokuwa na uhalisia kwa baadhi ya matendo yetu
 
Hapo nimekupenda kweli kwa kuwa muwazi?

unazungumziaje hawa 'feminist' wanaopaza sauti zao kila siku kutaka haki sawa, una lipi la kuwaambia??
 
Hahahahahh
Feels like nipo katika mahojiano

Sina cha kuzungumzia kuwahusu
 
Nafahamu haiwezekani

Suala la 50/50 kati ya mwanamke na mwanaume halipo
Na uzuri ama ubaya wa huo usawa tunaoutaka ni sisi wenyewe tunaonesha kutokuwa na uhalisia kwa baadhi ya matendo yetu
huwa siwaelewi,mnataka usawa kwenye nyanja zipi hasa?
 
Back
Top Bottom