Kwa ladies, ukitaka mtu(mume/mchepuko) wako akuhudumie chochote unachotaka kutokana na uwezo wake, fanya yafuatayo

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,355
40,227
Kwa ladies, ukitaka mtu (mume/mchepuko) wako akuhudumie chochote unachotaka kutokana na uwezo wake, fanya yafuatayo:-
  • Akikugusa kidogo tu hata mkono, shtuka kimahaba
  • Ukiwa naye jitahidi uwe unanukia vizuri
  • Mkiwa ndani ya 18 mwachie ajipimie anavyotaka
  • Mpe mapozi ya kila namna na yenye ubunifu
  • Mkiwa ndani mpe mitego ya kumpa mzuka
  • Mkiwa kwenye zoezi toa sauti ya kumpa ushindi
  • Mpatie huduma muda wowote anaotaka
Ukitekeleza haya yote kwa ufanisi yeye mwenyewe ataamua akuzawadie nini kutokana na uwezo wake. Kama ana uwezo wa kukujengea ghorofa, atakujengea......
 
Daaa kweli nilijikuta namzawadia kenge mmoja SUBARU IMPREZA kwa maigizo hayo hayo jamaa aliyoyaandika.
Kwa ladies,ukitaka mtu(mume/mchepuko) wako akuhudumie chochote unachotaka kutokana na uwezo wake,fanya yafuatayo:-
  • Akikugusa kidogo tu hata mkono,shtuka kimahaba
  • Ukiwa naye jitahidi uwe unanukia vizuri
  • Mkiwa ndani ya 18 mwachie ajipimie anavyotaka
  • Mpe mapozi ya kila namna na yenye ubunifu
  • Mkiwa ndani mpe mitego ya kumpa mzuka
  • Mkiwa kwenye zoezi toa sauti ya kumpa ushindi
  • Mpatie huduma muda wowote anaotaka
Ukitekeleza haya yote kwa ufanisi yeye mwenyewe ataamua akuzawadie nini kutokana na uwezo wake,kama anauwezo wa kukujengea gorofa,atakujengea......
 
Back
Top Bottom