Mambo 10 marufuku kwa wanaume mabaharia

Masokwe

JF-Expert Member
Mar 30, 2019
451
676
Mambo 10 marufuku kwa wanaume

1. Kusomesha mchumba
2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako.
3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali.
4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako.
5. Kumwamini mwanamke/mke wako kwa 100% (mwamini kwa mama yako tu kwa kiwango hicho au zaidi)
6. Kumwita mke wako mama.
7. Kujenga ukweni (jenga kwa wazazi wako)
8. Kupuuza neno lolote lenye uelekeo wa dharau, kejeli, au kubezwa na mwanamke/mke wako.
9. Kutegemea mapenzi kutoka kwa mwanamke/mke wako sawa sawa na unavyotamani/unavyotaka iwe.
10. Kulipa mahali kubwa na kufanya sherehe kubwa ya ndoa yako.
 
Yes!
happy-tears-salute-emojipedia-mockup-top-requests-2019-picsay.jpeg
 
Ongeza.. Marufuku kuijua ratiba yako yote ya kimaisha na kikazi
 
Back
Top Bottom