Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hela kiasi fulani tu aliniomba ila kumwambia wakati mwingine nakua sina. Imekuwa kero aisee.
6 Reactions
111 Replies
9K Views
Habari Kwanza nakumbuka kipindi hicho niko advance level form six, nilikua smart sana hivo watoto wa kike shobo zikawa zote na nikala wengi mno. Kwenye mwezi Aprili hivi kuelekea necta kuna kitoto...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
baba mmoja amemuandalia kijana wake bag party (sijui ndo zinaitwa hivyo!), kwa ajili ya kumpa mawaidha ya mwisho, kabla hajaoa hivi karibuni. Katika hali ambayo sikuitarajia,amenialika kama mmoja...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu nani anajua kuimba zaidi ya mwenzake
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu hivi kuna uhusiano wowote kati ya kumlea mpenzi wako kwa misingi ya kipigo na mahusiano kuwa ACTIVE muda wote MAPENZI yanakua motomoto?Nasikia kuna baadhi ya makabila usipompiga mpenzi wako...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Imekuwa ni kawaida kusikia majina ya kujimwambafai kwa jinsia ya kiume kama vile Mashine,mkuyenge,duduwasha,juma kipara wazi,muwa,muhogo wa jang'ombe,n.k hata namna ya kutamka haileti shida sana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za muda huu wapendwa! Niende moja kwa moja kwenye dhumuni langu, nipo hapa kutafuta mume yaani mwanaume ambaye tutaanza nae urafiki kisha mahusiano Mungu akijalia tuwe mume na mke SIFA...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Enyi Wagalatia, ni nani aliyewaroga? Na ni kwa nini mnawaamini sana waganga! PASHA HABARI Wanandugu watatu kati ya wanne wameingia katika simanzi kubwa baada ya kutapeliwa na...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Natumai hamjambo. Leo nitashare nanyi kisa changu tupate kujifunza. Nilianza mahusiano na huyu demu tukiwa shule, after shule kila mtu akawa kwao tukawa tukiwasiliana. Akiwa home akachumbiwa...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Tusaidiane haya maarifa jamani. Niko tayari kwa risk yyote itakayonikuta Nimesha jiandaa kisaikolojia
6 Reactions
90 Replies
58K Views
Kwanza kabisa nitoe pongezi za dhati kwa mheshimiwa Rais kwa kutuletea mtandao huu wa JamiiForums hakika Rais Magufuli ni mwamba (samahani nimeangalia taarifa ya habari ya ITV leo kuna daraja...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Kwenye sayansi ya Lugha kuna lugha kali na lugha zilizopoa. Kwa mfano Kinyarwanda hata mtu akiongea kwa kukasirika ataongea kwa maneno ya kupoa, na lugha ya Kichina watu wakiongea hata jambo la...
9 Reactions
170 Replies
17K Views
Wakuu... Naomba leo ku'share na nyie hili suala. Kama mnavyofahamu sasa hivii pesa imekua ngumu huku uswahilini kwetu, hivyo kutufanya vijana kuchapa kazi kwa bidii na kujipatia kipato kidogo cha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona. Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona...
29 Reactions
149 Replies
13K Views
Hivi kwanini wanaume wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja na wakati huo huo wanawake hawaruhusiwi kuolewa na mume zaidi ya mmoja? Hivi hapa wataalamu wa mambo walizingatia kigezo gani juu ya...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Ipo hivi, Nlikuwa na mpenzi ambaye tuliachana muda. Mahusiano yetu yalibaki kuwa ni sex tu tena mara moja moja sana. Binti akapata ujauzito ambao yeye alinambia mimi sio mhusika. Juzi Kati...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Napenda sana kutumia condom ila cha ajabu Mara zote nilizovaa ndomu changamoto inakuja kila nikimaliza game nakuta nimebaki tu na kile kimpira tu kama barabendi condomu yote ilipopotelea sijui...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
"Mimi ni nani mpaka nami Nishindwe kutolewa kwenye Bustani hii ya Dunia, kama Adamu na Ever tu wenyewe walishindwa kuvumilia licha ya maisha mazuri waliyopewa," Nipo Zangu gheto hapa nasubiria...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
1 ALIKUWA mwanamke! Tena mwanamke wa haja! Alisimama pale, uso wake ukiwa umeelekezwa kwangu; kama anayesubiri nifanye kazi yangu! Naapa kuwa, kwa mara ya kwanza, katika maisha yangu ya...
8 Reactions
152 Replies
55K Views
Za mida hii wakuu Ukimuona fulani labda ukampenda na ukamueleza ila ukaona anakuchenga chenga, na haeleweki, huyo achana naye usiendelee kumtafuta zaidi mtu ambaye ni sahihi kwako hawezi...
9 Reactions
31 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…