Mapenzi bila kipigo ni chachu ya kufanya mapenzi yawe active?

Mapenzi bila kipigo ni chachu ya kufanya mapenzi yawe active?

pangakali 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
239
Reaction score
221
Wakuu hivi kuna uhusiano wowote kati ya kumlea mpenzi wako kwa misingi ya kipigo na mahusiano kuwa ACTIVE muda wote MAPENZI yanakua motomoto?Nasikia kuna baadhi ya makabila usipompiga mpenzi wako mke anakua na imani ya kutokupendwa kwa dhati. Je imani hii ni CHACHU katika mahusiano/ mapenzi ya kweli?
 
Back
Top Bottom