Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

“I Know It’s Haram But I Love Him” This is the answer that some sisters give when they tell them that having boyfriend is Haram in Islam. So this is a message for everyone of them: “Dear Sister...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
yaaani ndio awe mama yako kwanza kabisa ana kibenten alafu anavaa vichupi kama vile swimmingpool pia anashikwa shikwa matako,matiti na kila kitu mbele ya jamii kwa akili zako ulizo nazo sasa hivi...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Za jumatano huku wote. Kwa maelezo ya rafiki ni hivi... Alikutana na bae wake kupitia hizi app za kudate ( Tinder, Badoo etc). Walikutana siku hiyo hiyo baada ya kuchat hadi kupeana namba. Huyo...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Wadau mambo vp...NajitokeZa apa Kutafuta Mchumba ambae badea kama mambo yakikaa sawa Aje kua Mke wangu kipenzii...Me ni Mtumishi wa umma, Umri wangu ni 26.....Sifa za Ninaemtafuta ni umri ambao ni...
1 Reactions
3 Replies
770 Views
Uswahilini maisha ya kila mtu, ni mume/mke wa nani? Anafanya kazi gani? Ana watoto wangapi? Ni kabila gani? Nani ni mpenzi wa nani? Huwa siyo siri. Watataka wajue maisha yako, kama maisha yako ni...
30 Reactions
90 Replies
18K Views
Kwenye mahusiano ni nani huwa anafaidi zaidi, kati ya mwanaume na mwanamke?
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Heri ubaki bachelor kuliko kuoa, Kuna mambo mazito Sana yanatokea kwenye jamii zetu kuhusu hawa wanawake,, nimewahi kushuhidia mwanaume analia kabisa kisa mwanamke, jamaa alijiwekeza vya kutosha...
8 Reactions
130 Replies
10K Views
Nimepita mahali nikakutana na baharia anapokea kipigo kikali kutoka kwa mkewe, na kilichonishangaza zaidi baharia ni IST na mkewe ni Fuso. Mbaya zaidi baharia akawa anatoa machozi, kutokana na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ndo niliamua kumuacha huyu binti kutokana na sababu zangu binafsi ambazo ziko nje ya uwezo wangu. Nilifuta na namba yake kabisa, kumbe yangu ameikariri. Kinachoendelea sasa hivi ni kila...
2 Reactions
57 Replies
7K Views
Ndug zangu, Nimefanya utafiti nimegundua kuwa asilimia 80% ya wanawake hutegemea pesa za wanaume. Wengi wao hawana mtazamo wa kutafuta njia mbadala ya kutafuta pesa zaidi ya kukwambia " bby...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Walioana wakiwa wafanyakazi kazi wote wawili, walizaa watoto wawili. Baadae mwanaume aliondoka aliondoka nyumbani.. Yule mama alihangaika kulea watoto, si haba alifanikiwa kuwasomesha watoto na...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi nina miaka 38 sasa, msomi wa elimu ya juu na nina kazi nzuri pia, nilikuwa naishi vizuri na wazazi wangu wawili I mean baba na mama, sasa hapa juzi baada ya ugomvi, mama ameondoka nyumbani na...
59 Reactions
142 Replies
26K Views
Leo lasmi naachana na mke wangu nnae mpenda sana na tumezaa mtoto mmoja kwasababu ambazo ziko nnje ya uwezo wangu imebidi nikubali kumuacha aendelee na maisha yake ambayo anaona yatakua bora na...
4 Reactions
61 Replies
18K Views
Holla people of MMU, Kasinde Mahaba met Big G yesterday and this is what he has been whispering to her since.... Now, I'm not trying to be rude but hey, pretty girl, I'm feelin' you The way you...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Kama mada inavyosema Xmas hii ntakuwa moshi kuhesabiwa kama ilivyo ada.Huko ataangushwa ng'ombe sijui mbuzi ila damu lazima itamwagika..[emoji28] Mwaka mpya ntakuwepo dar na wanangu kama...
3 Reactions
4 Replies
974 Views
Kuna haka katabia ka kuvalishana pete kwa surprise bila makubaliano maalum wala kuwashirikisha wazazi wa pande zote mbili wengine utakuta anamfanyia surprise mpenzi wake kwa kumvalisha pete ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa sasa wadau nipo manzese kwa muda huu kuna utafiti nafanya ...ila nimekuja kungundua manzese ni eneo linaloongoza kwa biashara ya ngono...kuanzia mitaani mpaka guest house...tukianza maeneo...
6 Reactions
223 Replies
81K Views
Hapa nipo nacheka yaani nimetolewa shombo moja ya maana, matusi na kila aina ya maneno, Kisa tu nimekataa kumtumia hela ya kijora, Ndani ya wiki mbili tu alishaniomba hela ya sare ya dera...
12 Reactions
40 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…