Babu: Mjukuu wangu unashangaa mwanamke kukuacha?
Mimi: Ndiyo, kwa sababu hakuna alichokosa kwangu na licha ya kumsamehe baada ya kugundua anamichepuko pia.
Babu: Hahahahaa! Mwanamke ni bingwa wa...
Bwana Zuberi wa Doda, Mkinga jijini Tanga amejikuta yupo katika wakati mgumu na wasintofahamu baada ya mke wake kuanza kulala na kisu,chumvi pakiti moja na pilipili ya kusaga chini ya mto.
Dada...
Nilipompata nilisema nimepata, huyu mwanaume tuliishi vizuri ghafla akaanza kuwa busy.
Katika kubembeleza nijue kulikoni nilinunua khanga na vitenge viende kwa mama yake kama zawadi ya sikukuu...
Bda ya kama masaa5 ya kujishauri peke angu, mimi msukuma ninayeishi ndani ya viunga vya jiji la msukuma mwenzangu, Daud Alberty Bashite, ambaye ni mtoto pendwa wa Baba Ubaya, nimefikia uamuzi wa...
Kwa umri niliofikia kwa sasa unatosha kabisa kuanza kujitegemea na kuishi pekee yangu.
Tatizo wazazi wangu hawataki kuondoka na kuniachia nyumba.
Hebu nishaurini nifanyeje wadau.
Hello I’d like to know how marriage between a Kenyan and Tanzanian would be like. If you are familiar with how this plays out please comment below.
I’m from Kenya and my wife Tanzania. We plan on...
Si kila atoae sauti anamaanisha mahaba yako mahali pake.Wengine ni miguno ya maumivu,au ya kiutapeli ili aweze kufanikisha lengo lake.Kwa hiyo unapokutana na miguno ya namna hiyo,kama baharia...
Mmeachana na mtu
Still humsahau
Naye hajakusahau
Bado mnawasiliana
Na kila mtu hajamove on...!!na kama mlijaribu kumove on still bado mnahic kuna kitu hakijakamilika kwakuwa kuna mtu hayupo
Kila...
Shemeji yenu Leo amenifungukia 'kuwa eti nikimkojolesha bao moja yeye kwaupande wake huwa anakuwa kalizika kabisa' Eti hata nikikaa wiki bila kumgusa haina shida.
Vilevile akaongezea kusema kuwa...
Kutokuwa na hisia na mwanamke, kumuhitaji kwa ajili ya sex tu?.
Hii kitu naiona kwa mtu wangu wa karibu , sasa Ana miaka karibu 40 lakini hajawahi kuwa na serious relationship.Yeye akiwa na...
Nimeona baazi ya Wanawake wengi wana penda ku rush mambo ili ku prove kwa wenzao hasa kwenye ishu za mahusiano..
Tumeona dada na wadogo zetu Wameolewa na wanaume wasio na kipato cha kueleweka ili...
Bi Mwantumu wa Ndugumbi amejikuta yupo kwenye wakati mgumu muda huu baada ya mchepuko wake, "bwana Kipara" kutimba kwa Bi Mwantumu kwa lengo la kudai mwanaye wa kiume aliyezaa na Bi Mwantumu...
Baada ya uchunguzi na kukusanya maoni na kuwasikiliza wengi nimebaini kuwa:
1. Wapo Wachungaji, Mashekhe, Mapadri ambao wakifungisha ndoa popote pale lazima ndoa hiyo ivunjike baada ya kukaa siku...
Swali walilouliza!
Wakajikuta swali lao limekosewa! Ni kweli zogo (controversy) au hekaheka kubwa inayowagawa watu katika makundi mawili kuhusu talaka inapatikana katika injili ya Mathayo 5:32 na...
1. Uko na mpenzi/mume/mke wako lakini kila mtu yuko busy na simu anatabasamu na simu yake au anacheka na simu yake kila mtu ana mapenzi na simu yake kila mtu ana ipa simu yake muda zaidi ya mpenzi...
Wiki mbili zilizopita nilifahamiana na binti mmoja katika mtandao wa kijamii, hatujaonana bado na wala hatujawa wapenzi!
Tumeendelea kuwasiliana vizuri lakini toka Jumatatu sikumsikia. Asubuhi...
Habari zenu wadau..
I hope mko yente,,,
Sasa bhana kuna
Chaliangu mmoko
hivi kwao ana'chill
Fas ya Njiro apa apa
Chuga...Sasa uyu mjuba
kwao ni wakishua kinyama
yaani ukisikia wa mashavuni
ndo...
Habari za muda huu wana MMU.
Leo nimekuja kwenu na mada hii kutokana na mambo yanayoendelea ya watu kuuana na kufanyiana mambo mengi mabaya ikiwa chanzo kikuu kinachosikika ni kusalitiana.
Si...