Natafuta mke

Natafuta mke

Hapo kwenye tyu pamekupunguzia credit, anyway ngoja waje.
 
Wengi watakao kwambia hapo sjui pamenikosesha vigezo ni wachoraji tu hawana shida hawana lolote subiri komenti kama hizo zikija

Bila kusahau zile za huko mtaani umekosa mtu utakutana nazo nyingi tu


Kila LA heri kama yatajitokeza achana na hao mazafaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom