Mwanamke ni bingwa wa kuacha

pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,636
6,261
Babu: Mjukuu wangu unashangaa mwanamke kukuacha?

Mimi: Ndiyo, kwa sababu hakuna alichokosa kwangu na licha ya kumsamehe baada ya kugundua anamichepuko pia.

Babu: Hahahahaa! Mwanamke ni bingwa wa kuacha kwanza alimuacha babake na ***** akaja kwako akabadili na jina akaacha kujiita kwa jina la babae akajiita kwa jina lako, pili aliacha ndugu zake akaja kujiunga na ndugu zako, tatu aliacha ukoo wake na jamii ya kwao umeona hapo mjukuu wangu?

Mimi: Kweli

Babu: Kwahiyo wewe mtu mmoja ndiyo ataona taabu kukuacha?

Mimi: (kimya)
 
Kuna dhambi mbaya Sana hawa ndugu zetu walifanya kwa kwel

Wanatakiwa watubu kweli kweli

Inatafuna kizazi baada ya kizazi
Duuh Mungu tuepushe kwa kwel
 
Huwa hatuachi ndugu na familia zetu, Bali huwa tunaishi mbali nao. Ila mioyoni mwetu, bado wanaishi na simu tunawapigia , na tukipata muda tunawatembelea.

Ila mwanamke akimuacha , mume connection yote inakuwa terminated.
 
Back
Top Bottom