Mke wangu amezalishwa na madaktari wadogo roho inaniuma

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,454
25,372
Wakuu,

Leo nilimpeleka wife kujifungua, sema kilichoniuma ni kuona wanaoenda kumzalisha ni vidaktari vitoto sana yani daah nimeumia kwa kweli yani vile vitoto vinaenda kushika papuchi ya mke wangu?

Mbaya zaidi mke wangu alikuwa anawasifia na kudai eti vinajua kupeti peti na vimemzalisha vizuri.

Nasemaje serikali iingilie kati swala hili mambo ya uzalishaji waachiwe madaktari wa kike wanaume wasiguse kabisa yani Daah, nawaza kishenzi washaiona tayali papuchi ya mke wangu na heshima naona itashuka.
 
:D:D:D kweli umeamua kufurahisha genge la Jf......
yaani chuo unasoma wewe, kwa shemeji yako unakaa wewe, ukimwi umeathirika wewe, jini umeoa wewe, :D:D:D:D:D
supplementary upate wewe, na sasa mkeo amezalishwa na madaktari wadogo...:D:D

ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni:eek::eek::eek:
 
Kuna waliyoiona na kuinyonya kabla yako, labda kama ulimuoa akiwa bikira. Acha wivu wa kitoto. Ukiona jinsi anavyojifungua unaweza kuasilika kisaikolojia makitu yanayotoka huko kabla ya mtoto.
 
:D:D:D kweli umeamua kufurahisha genge la Jf......
yaani chuo unasoma wewe, kwa shemeji yako unakaa wewe, ukimwi umeathirika wewe, jini umeoa wewe, :D:D:D:D:D
supplementary upate wewe, na sasa mkeo amezalishwa na madaktari wadogo...:D:D

ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni:eek::eek::eek:
Aisee huyu dogo n Bashite Sana. Hivi wapi ananunulia viroba huyu
 
ungemzalisha wewe mwenyewe ili roho iaikuume
Ndio maana nikatoa pendekezo kuwa serikali ifanye juu chini kuongeza idadi ya madaktari wa kike nchini halafu madaktari wakiume wasiruhusiwe kabisa kuwachungulia wake zetu ,wanawake wazalishwe na wanawake wenzao

Sidhani nchi za kiarabu kama huu upuuzi upo
 
Mkuu shukuru hawajaibanduaaa nadhani ndo ungechanganyikiwa.

Mke hana sumu lakini anaumiza.
Mke anauma mkuu yani we acha yani kila nikiwaona vile vidaktari vikiwa vinaangalia smartphones zao huku wakicheka nahisi kama wanaangalia picha ambazo labda wamempiga mke wangu kipindi wanamzalisha
 
Wakuu leo nilimpeleka wife kujifungua ,sema kilichoniuma ni kuona wanaoenda kumzalisha ni vidaktari vitoto sana yani daah nimeumia kwa kweli yani vile vitoto vinaenda kushika papuchi ya mke wangu ??

Mbaya zaidi mke wangu alikuwa anawasifia na kudai eti vinajua kupeti peti na vimemzalisha vizuri .

Nasemaje serikali iingilie kati swala hili ,mambo ya uzalishaji waachiwe madaktari wa kike wanaume wasiguse kabisa yani

Daah nawaza kishenzi washaiona tayali papuchi ya mke wangu na heshima naona itashuka.
Hapana mkuu hayo ni mawazo yako tu, lakini taaluma ya udaktari na uuguzi haijaanza leo ni historia ndefu sana na mwanzoni kabisa wakati medicine inaanzishwa kulikuwa na vitu kama hivo, kumbuka wale wanafanya kazi kwa kufuata miiko ya taaluma yao ambayo wewe hujafundishwa na pia huna
 
Wakuu leo nilimpeleka wife kujifungua ,sema kilichoniuma ni kuona wanaoenda kumzalisha ni vidaktari vitoto sana yani daah nimeumia kwa kweli yani vile vitoto vinaenda kushika papuchi ya mke wangu ??

Mbaya zaidi mke wangu alikuwa anawasifia na kudai eti vinajua kupeti peti na vimemzalisha vizuri .

Nasemaje serikali iingilie kati swala hili ,mambo ya uzalishaji waachiwe madaktari wa kike wanaume wasiguse kabisa yani

Daah nawaza kishenzi washaiona tayali papuchi ya mke wangu na heshima naona itashuka.
Tena walikiwa wanamuingiza vidole kwenye k,zaidi walimnyoa na nywele kabisa....................
 
Back
Top Bottom