Unatumia mbinu gani kutatua changamoto hii!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,048
Aisee! Ukidate na vi slay Queen ambavyo unataka uvipost kwenye WhatsApp status ni mtihani kweli!hasa pale unapokuwa una Mademu watatu sasa ukijifanya unapost kizembe huku kwingine wanapindua meza kibabe!

Mimi mbinu nayotumia nawablock kwanza kwa muda hao wawili na mashemeji uchwara kisha ndio napost baada ya masaa kadhaa nafuta status kisha Nina unblock, kisha napiga tena wengine block ya muda kisha napost mwingine!
 
my contacts expet

unatoa tic kwa kidemu kiingne asione km una mademu wawili
ata akitaka screenshot ya view unamtumia tuu
C360_2019-11-06-15-00-27-026.jpeg
 
Aisee! Ukidate na vi slay Queen ambavyo unataka uvipost kwenye WhatsApp status ni mtihani kweli!hasa pale unapokuwa una Mademu watatu sasa ukijifanya unapost kizembe huku kwingine wanapindua meza kibabe!

Mimi mbinu nayotumia nawablock kwanza kwa muda hao wawili na mashemeji uchwara kisha ndio napost baada ya masaa kadhaa nafuta status kisha Nina unblock, kisha napiga tena wengine block ya muda kisha napost mwingine!
Utoto+utumwa+lack of exposure
 
Nikipost huwa naenda kwenye setting naweka aone yeye na marafiki zake tu.. akitaka screenshot nafanya editting inaonekana wameview watu 100+ kumbe kaona yeye na marafiki zake tu
 
Aisee! Ukidate na vi slay Queen ambavyo unataka uvipost kwenye WhatsApp status ni mtihani kweli!hasa pale unapokuwa una Mademu watatu sasa ukijifanya unapost kizembe huku kwingine wanapindua meza kibabe!

Mimi mbinu nayotumia nawablock kwanza kwa muda hao wawili na mashemeji uchwara kisha ndio napost baada ya masaa kadhaa nafuta status kisha Nina unblock, kisha napiga tena wengine block ya muda kisha napost mwingine!
Weka privacy tu kuna msichana mmoja alinipa tunda kiutan baada ya kuona kila siku namuomba picha alafu namueka status nikamwambiaga namkubali sana nikamwagia sifa zote ilikuwa kwa siku naweka status hata 5 ilifika kipind hata sijaomba picha natumiwa hapo hapo naweka status kumbe niliweka privacy alikuwa anaziona yeyepeke yake
 
  • Thanks
Reactions: rr3
Sijawahi kuwa na huo undezi wa kupost mtu kwenye social network

sio kwenye birthday au event yeyote,kama haamini nampenda "shauri lake"

as long as nishakukula hayo mengine amua utakavyo,ukiona sikupendi kwendaaa
 
Doh!

Mawifi wanapata tabu Sana..

Wewe ni pasua kichwa
 
Upendo wa kweli ulikuwa enzi zetu. Bali mpaka kesho mapenzi ya kweli yapo ila si kwa mizani hii wanayoitumia watu leo hii.

Jambo kubwa ambalo watu hawalijui,kurogana kwingi hupitia kwenye mapicha mapicha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom