Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,165
Habari za mida hii wakuu?
Kama uzi unavyojieleza hapo juu.
Nimejaribu kufikiria ni jina gani zuri ambalo nitamwita mpenzi wangu litakalo mpendeza sijafanikiwa.
Nimepekua nyuzi mbalimbali za jukwaa la MMU ila sijafanikiwa kupata jina mahususi kwa ajili yake. jina zuri ajione la pekee.
BEIB,HONEY,DARLING,LAAZIZ,MAHABUBA,AMOURE,CHAUREMBO,UTAMU WANGU,MY HEART nayaona ya kawaida.
Wana jamvi tushirikiane ni jina gani nzuri unamwita/utamwita mpenzi wako?