Instagram yapiga rasmi marufuku tiba lishe na dawa zinazorekebisha miili

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,845
Instagram mtandao unaotumiwa na watu wengi maarufu umetumiwa vibaya kwa muda mrefu na watu wasio wakweli na matapeli waliotimua nafasi hiyo kujiingizia mamilion ya dola kwa njia za udanganyifu
Matangazo ya chai za kupunguza unene kwa muda mfupi, juice za kukata tumbo, matunda na vyakula vinginevyo yalikuwa maarufu mno
Matangazo pia ya Vidonge, lotion na mafuta hatarishi vyenye chemikali nyingi za sumu kwa ajili ya kurekebisha ngozi na baadhi ya sehemu za mwili yalikuwa kila kona
Wajanja kupitia account zao walipiga pesa ndefu aidha kwa kuuza hivyo vitu, kufanya udalali, kutoa masomo na mafundisho yasiyo na ukweli kwa njia ya kujiongezea wafuasi na kupata kipato
Wengine walihamasisha watu kupata vitu hivyo kupitia link mbalimbali kwa nia ya kuziboost na wao kufaidika na commission..

Sasa Instagram wamesema inatosha sasa... Hawako tayari mtandao wao kutumiwa vibaya na kuangamiza maelfu huku wachache wakifaidi...
Huu waweza kuwa mwanzo mzuri kwa mitandao mingine kufanya hivi

Instagram has introduced a new set of rules regarding the promotion of diet products and cosmetic surgery. The new rules come in two parts. First of all, diet-related adverts of any description (including anything from detox tea’s to cosmetic procedures) will only be shown to users over the age of 18. Second: any product which, in Instagram’s words, ‘makes a miraculous claim about certain diet or weight loss products, and is linked to a commercial offer such as a discount code’ will be banned outright. The debate surrounding diet a
PRI_85783205.jpeg
 
Hivi wale "wachambaji wa insta" hakuna namna ya kuondolewa?

Hakuna viumbe wanakera kama yale manungayembe yanayojiita wachambaji...shubamitiiii zao
Tatizo lugha... Wanatumia kibantu
 
Yanahamasisha mno kwakweli... Ingekuwa halisi... Ingekuwa poa sana
tapatalk_1570387067546.jpeg
tapatalk_1570387051735.jpeg
 
Back
Top Bottom