Wanaume na kushikwa Makalio

Magnumpi

Member
Oct 4, 2019
68
172
Habarini wana MMU. Nimewamisi sana. Natumai mtanistahi kidogo nawajua kwa majibu ya ovyo hamjambo.

Mimi kuna observation nimepata. Wanaume kwanini hampendi kushikwa makalio na wenzi wenu? Kwa kweli mimi naona makalio ni sehemu sexy sana kwa mwanaume. Tena mwanaume akiwa na vile vijitako vigumu ndio vizuri sana. Sasa boyfriend wangu nikimshika tako ana-mind sana Hadi anataka kunipiga.

Acheni hizo bhna mbona nyie mnatushika kila sehemu hatulalamiki. Nawasihi muache ubinafsi mnajiachie na sisi tufaidi tunavyopenda kwenu.

Nipeni sababu jamani maana nahisi huyu bwana hanitendeni haki kwa kuninyima kitu ninacho enjoy.

20191029_105855.jpg
 
Back
Top Bottom