Ulishawahi kutuma ujumbe (SMS) kimakosa?

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,190
3,685
Jana jioni nilikua nachati na demu wangu katika kuchatichati nilijikuta naandika kwenye kikasha cha mama ujumbe haukua mzuri kwakweli nilifuta haraka rakini ripoti ilirudi kwangu kua ujumbe umefika, mda huo nilikua kitaa

Demu linituma akaandika hivi: mpenzi wangu nini unachonipendea mimi tofauti na mkeo?

Jibu langu: wewe una kum---tamu ninapo kutomb---siishiwi hamu ya kua nawewe

Huo ndio ujumbe uliomfikia mama niaibu tupu yaani najiona mpuuzi sana mimi wakuu tufarijiane rabda sio mimi tu imenitokea.

Imeandikwa:
Exalioth
Mtumiaji wa:
Jamiiforum
 
Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
 
Diana nakupenda sana hata wewe unajua Mimi sina mahusiano kwa sasa yule niliachana nae sio wangu

Mara paap nikaituma kwa main chick nikasikia Diana ndo nani hivi wewe unamatatizo gani "M"

Nikajibu sorry mi ni rafiki yake M ambe ndo Mimi mwenyewe apo nikadanganya..alikuwa kaniazima simu Mara moja yangu iliisha chaji nilikuwa nimetofautiana kidogo na mpenz wangu ndo nikakosea nikatuma kwako.ila jamaa ametoka kidogo
 
Kuna Dada mmoja tunaheshimiana sana,alikuwa anatuma sms kwa Mpenzi wake akakosea ikaja kwangu mbaya zaidi sms yenyewe ilikuwa ya Mahaba mazito. Baadae nikamfowadia akashtuka sana,nikaanza kumzingua kuwa kaniacha katika hali mbaya sana,kwenda kwenda nikala mzigo.
 
Alisikika MLEVI mmoja
Diana nakupenda sana hata wewe unajua Mimi sina mahusiano kwa sasa yule niliachana nae sio wangu

Mara paap nikaituma kwa main chick nikasikia Diana ndo nani hivi wewe unamatatizo gani "M"

Nikajibu sorry mi ni rafiki yake M ambe ndo Mimi mwenyewe apo nikadanganya..alikuwa kaniazima simu Mara moja yangu iliisha chaji nilikuwa nimetofautiana kidogo na mpenz wangu ndo nikakosea nikatuma kwako.ila jamaa ametoka kidogo
 
Mawazo ya kitoto kabisa sasa nakwamia hivi hakuna kinachoshindikana kwaa hii dunia

Back
Top Bottom