Jamani nimelogwa nini?

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,417
13,370
Kuna manzi mmoko nikuwa natafunemo kisela zile za nikimkuta mahali anaweza ntumia sms leo uschukue demu nakupa mm na naweza muona na mtu ,mnyama navunga anajifanya anatoka kuongea na cm na mla ,ckuingine ananiambia asee leo kaa mbali na mimi huyu ndo daddy (mliwa hela ) mnyama navungu nakula bia nasepa mlipiga buku mnaita friends with benefits .

First time she came for the money ooo ,then she said am sweet like a marioo ,badae akaanza useng#$ wa kujifanya anatrue feelings aliniona The don na pisi moja nlikuwa ndo niko serious nayo alinletea bonge ya vurugu nkamuliza mamiloo mbona unavunja katiba tena a u meko?

Kesho akaniomba msamaha na kuniambia ananipenda nkamwambia ukweli staweza mheshimu maana tumekutana kipoloo ,haitakuwa afya kwa mahusiano yetu na pia sina mpango wa kuoa wala vya upermanent ,akalia sana kumtuliza nkapiga bunduki 2 za kibabeila new experience akawa anakomaa tusitumie kinga mhuni wa ngaree nkajua anataka kujishkisha mimba nkakomaa na condomu .

baada ya mwezi akaniita mahali maana alienda dar ,akaniomba ushauri kuna jamaa anakibunda anataka wazae ,kama rafiki nkamwambia tayari una 2 no dad kids ,why mwingine maisha yenyewe unaunga kwa kibaa chako na kudanga akajifanya kanielewa after 3 mon hatukuonana kurudi anaujauzito akanambia hampendi jamaa ndo maana alitaka anibambike baharia mm.Ila jamaa alimpa 3 mil hata kabla haja shka mimba nkamjibu poa .

Tukapotezana baada ya kitambo akanpigia nimejifungua njoo ona mtoto njiro ,kweli nkaenda baada ya kusalimiana na mtoto na mamake tukatoka nje kunisindikiza demu alilia balaa kanambia jamaa aliposikia kajifungua hapokei hata simu na sms za kejeri juu .nkamwambia nlikwambia wanaume sisi majambazi sugu hatutabiriki.

Basi nkawa namfariji sana na kumtumia vi 30,50 hadi laki mwezi wa pili toka jifungua akaanza kulilia gemu mi nkawa naona kinyaa akomaa akaibuka geto mnyama nkavaa ninja nkamla ,baada ya wiki akaleta tena sikuvunga nkabonga,sasa mara ya tatu akaniita baa fulani akanipiga bia mnyama nkaenda pigiga ila hapa ndo tatizo likaja ,bao lilikuwa tamu sana na zitoo nkajiuliza nini hii nlipomaliza kajichomoa kaenda jifungia chooni kama nusu saa kuto ilinijia hisia ya kumchukia balaaa.

Sasa ni wiki ya pili alipiga mara moja skupokea na namchukia wkati hajantenda lolote baya ,afu ile harufu ya perfume yake naiskia kila mara nimeoga nimeshindwa kiiisikia najiona mjinga hata kumjua na inakuja kichwan picha anlvokuwa anatoka bafuni aghaaaaaa.

Nkaomba ushauli kwa rafiki zangu wamenijibu hivi

1.Demu amechukua nyota yako
2.Aliniroga kimapenzi ila yawezekana amechemka au ninakinga ndo imemgeuka

Mwingine akanambia amekufunga usile wengine ,nkamuibukia demu mmoja sho ilikuwa kamambe kabisa ,

Ndugu am scared huyu demu kwa nini nimchukie ghafla,bafuni alienda kufanya nini na kondomu yangu ? kama alitaka nimpende mbona hapigi kutaka mrejesho na mbona ndo memchukia? au nimuulize au ntaharibu wakuu? au hofu yangu tuu,yaani namchukiaaaa

cc: Mshana Jr Mtimkavu dawa
 
Sijasoma ulichoandika lakini kutokana na komenti nilizoziona na mimi nashauri raisi aache kununua ndege ajenge uwanja wa mpira Chato

Ahsante
 
Mmmh.... Naona kuna mambo mengi yamejiri kwa wakati mmoja... Kubwa ni hilo la yeye kukaa bafuni nususaa.. BTW hupaswi kufikiria uchawi in the first place

Nashukuru lakini iko hivi.. Mambo mengi yanayotokea sio uchawi... Uchawi unasingiziwa mambo mengi sana yasiyo yake.. Kuna gundu, kuna nuksi kuna mlango wa nane kuna nyota nk
Kwenye Uzi huu unategemewa sana mkuu
 
Back
Top Bottom